wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Sasa si wangeeleza ni wapi pa kudai risiti na wapi tusidai
Cha msingi Ni kutii Sheria bila shuruti...
Nenda supermarket kanunue bidhaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si wangeeleza ni wapi pa kudai risiti na wapi tusidai
Ninapoishi hadi supamaketi ni mbali hadi nichukue usafiri sasa nichukue boda ya buku 4 kwenda kununua kibiriti cha 100.Cha msingi Ni kutii Sheria bila shuruti...
Nenda supermarket kanunue bidhaa...
[emoji23][emoji23]Ndugai na genge lake pamoja na covid19 Wanaweza pitisha azimio kila mwana ndoa awe analala chumba chake ukiingia kwa mwenzako unalipa na kupatiwa risiti halali kwa tendo moja ama mtakavyo kubaliana!
Usiongeze wala kupunguza neno katika tauratiChief omba ufafanuzi wa aya hiyo
Hahaha umewaza nini lakini fundi25?Ndugai na genge lake pamoja na covid19 Wanaweza pitisha azimio kila mwana ndoa awe analala chumba chake ukiingia kwa mwenzako unalipa na kupatiwa risiti halali kwa tendo moja ama mtakavyo kubaliana!
Mtaweka nini kwenye ma file mkuuSawa tutaziweka kwenye ma file kabisa
Mamlaka yaliyo zungumziwa kwenye Quran siyo hayo ya utawala (Rais, Bunge na Mahakama)Warumi13
1 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu...
Quran iliandikwa kwenye zama zipi? Na wakati huo watawala wa umma walikua kina nani? Na walikua wakitumia sheria zipi?Mamlaka yaliyo zungumziwa kwenye Quran siyo hayo ya utawala (Rais, Bunge na Mahakama)
Hapo wamelengwa viongozi wa kidini.
Hujajibu swaliUnajua kwamba hakuna jambo Mungu anashindwa kuzuia?
kisheria
Tutajamba cheche mwaka huuMpaka miradi ikamilike, tutaona na kusikia mengi kutoka TRA.
Yesu alisema Mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa naye unamtii sababu ana mamlaka? Si kila mamlaka kaiweka Mungu?. Mbona YESU akutii mamlaka za kishetani alipoambiwa anafanya hayo Kwa mamlaka ya nani akajibu nenda ukamwambie yule mbweha. Herode na mamlaka akaambiwa mbweha. Sikia mamlaka inayofanya Dhambi haijawekwa na MUNGU.Warumi13
1 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu.
2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu.
3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu.
4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu.
5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.
6 Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala.
7 Wal ipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu.
Qur'ani
"Enyi mlioamini Mtiini Allah, na mtiini Rasuli (Wake Muhammad) na Wale waliopewa mamlaka kutoka miongoni mwenu, ......" (Qur'ani, 4:59)
Hivi wewe miss zomboko ni kada wa chama gani,Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), imesema kuwa wataanza msako katika maeneo mbalimbali nchini kwa lengo la kuwakagua na kuwatoza faini wanunuaji wanaonunua bidhaa bila kuomba risiti na wafanyabiashara wanaouza bidhaa bila kutoa risiti.
Kauli hiyo imetolewa hii leo Januari 7, 2021, na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka TRA, Richard Kayombo, wakati akizungumza kwenye kipindi cha SupaBreakfast cha East Africa Radio.
"Kama hautachukua risiti kwenye huduma ama bidhaaa yoyote uliyonunua ambayo inatakiwa kutolewa risiti, unaweza ukatozwa faini ya shilingi 30,000 au Milioni 1.5", amesema Kayombo.
Aidha akizungumzia kuhusu wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu, Kayombo amesema kuwa, "Kama umeuza bidhaa lakini hujatoa risiti adhabu yako ni kati ya Mil. 3 hadi Mil. 4.5 iwe umetoa risiti ya udanganyifu adhabu hiyo inakuhusu au unayo mashine lakini hauitumii".

Huu msitari Warumi 13-1 usitumike vibaya. Mimi siamini kama mamlaka ya Magufuli kwa mwaka 2020-25 imetoka kwa Mungu. Kwa kweli hata ukinichuna ngozi nichune ila MAGUFULI mamlaka yake HAIJATOKA kwa MUNGU BALI alijitwalia mamlaka kwa kuiba uchaguzi kwa kusaidiwa na TISS, NEC na Poilce.Warumi13
1 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu.
Hata kama wako madarakani kwa kuwezeshwa na mitutu ya bunduki. Sidhani kama Mungu ana maana hiyo, watu ndio hupotosha kukidhi matakwa yao.Mungu hakushindwa kuzuia lolote
"Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu."
"Enyi mlioamini Mtiini Allah, na mtiini Rasuli (Wake Muhammad) na Wale waliopewa mamlaka kutoka miongoni mwenu, ...... (Qur'ani, 4:59)