Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Wewe ni Tiara Ei au TC?Kwa hiyo umejidai afisa mpelelezi?Hayo maswali unataka nani akujibu?Ni mtihani huo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni Tiara Ei au TC?Kwa hiyo umejidai afisa mpelelezi?Hayo maswali unataka nani akujibu?Ni mtihani huo?
Sipo popote mkuu.Nipo kama ngedere tu.Wewe ni Tiara Ei au TC?
Waliomuua Ali Kibao hawajakamatwaKwa maswali haya naona ulitaka wakuandikie gazeti zima ndo uelewe na bado ungeuliza alivyoingia kazini alivaa boksa ya rangi gani.
Cha muhimu watuhumiwa watatu wameshakamatwa na kwa staili hii ya kujichukulia sheria mkononi na kwa polisi ninavyo wajua watu wajiandae kukamatwa kwenye zoazoa utaenda kushinda mahakamani kesi ndiyo lakini utakuwa umekaa gerezani mahabusu siyo chini ya mwaka mzima kwa kesi ya mauaji.
Kwahiyo ni muda wa kila mtu kuangalia step zake
Endelea na ungedere wako.Sipo popote mkuu.Nipo kama ngedere tu.
Haina hatari mkuu.Ngoja nitulie kama kasuku mgonjwa.Endelea na ungedere wako.
Mambo ya binadamu yapitie mbali
Mzee kibao waliblock basi mbele pia wakamchukua, anakuja kupatikana ni marehem. Unataka ufanyeje Defender ikikublock mbele Ili ikukamate kama sio kupiga kelele upate usaidizi wa wananchi. Vinginevyo kheri uende Gerezan ndugu zako wajue umefungwa kuliko kupotezwa kama Ben Saanane au Azor ndugu wakashindwa Kujua uko wapi ukawaacha na simanzi isiyokwisha.Kwa maswali haya naona ulitaka wakuandikie gazeti zima ndo uelewe na bado ungeuliza alivyoingia kazini alivaa boksa ya rangi gani.
Cha muhimu watuhumiwa watatu wameshakamatwa na kwa staili hii ya kujichukulia sheria mkononi na kwa polisi ninavyo wajua watu wajiandae kukamatwa kwenye zoazoa utaenda kushinda mahakamani kesi ndiyo lakini utakuwa umekaa gerezani mahabusu siyo chini ya mwaka mzima kwa kesi ya mauaji.
Kwahiyo ni muda wa kila mtu kuangalia step zake
Tukizoee.Tulishakubaliana ' Kifo no kifo' SASA hizi press conference za nini?🤷
Mwongo akiulizwa maswali mawili matatu lazima ajichanganye. Yaani kanuni ya uongo kuonekana ukweli ni kuwa uongo huo usihojiwe wala kujibiwa. You only say once🤣🤣🤣TRA wanajichanganya Sana kwenye suala lililotokea Tegeta la wanaodaiwa wafanyakazi wake kushambuliwa.
1. Kwanza, wanadai gari aina ya BMW T229 DHZ limeingia nchini kinyemela hivyo walikuwa wanalifukuza Hilo gari ili walikamate. Swali ni je Hilo gari liliingiaje nchini Kama sio hao hao TRA waliliruhusu?.
2. Pili, TRA wanadai kwamba kwenye regista yao gari yenye usajili wa T229 DHZ ni minibus na sio BMW. Swali linakuja waligundua Hilo suala usiku huo huko Tegeta ndipo wakaanza kumfukuza huyo mwenye gari la BMW? au waligundua kuhusu suala Hilo zamani ila wakawa wanamtafuta mmiliki au wanampa wito ila hafiki TRA ndipo wakaamua kumuambush huko Tegeta? TRA hawajafafanua vizuri kuhusu hili.
3. Tatu, TRA wanadai hawahitaji ruhusa ya mahakama kutekeleza majukumu yao. Ninachojua TRA kabla hawajakuvamia lazima wakupe barua ya summons au taarifa. Je walimpa mwenye gari taarifa kwamba wanamuhitaji?. Na Kama walimpa taarifa akakataa kutii kwanini hawakuongozana na polisi kumkamata kazini kwake, nyumbani kwake baadala ya kufukuzana barabarani Kama majambazi?
4. Nne, TRA hawajaweka wazi mfanyakazi aliyefariki alikuwa kitengo gani. Taarifa zake zipo juu juu. Hakuna maelezo ya ziada. Hata picha yake rasmi hakuna. Hili linazua maswali je alikuwa kweli mfanyakazi wa TRA au kundi la watu wasiojulikana.
5. Tano, kwanini dereva wa BMW alipiga kelele kwamba anatekwa. Kama alijua anatafutwa na TRA na kweli TRA wakamfikia kwanini apige kelele?. Kuna kitu kinafichwa hapa. Watu wengi hukamatwa na TRA lakini huwa hawapigi kelele za kutekwa. Tena kwenye kadamnasi Kama ile ya TEGETA.
6. SITA, kwanini TRA walisubiri mpaka usiku ndipo waanze kumsaka dereva wa BMW. Hawajaelezea sababu ya kutokumtafuta mchana au asubuhi na kuamua kumkimbiza usiku Tena Kwa kuizonga gari yake kwa mbele. TRA wanamaswali ya kujibu.
7. Mwisho, TRA waache kufukuzana na wateja kienyeji. Miaka kama minne nyuma Kuna wafanyakazi wa TRA walifariki wote kwenye kwa ajali wakati wakimfukiza bodaboda mwenye magendo huko Mkoani Songwe. Ni muda wa kutumia mbinu ambazo sio hatarishi kwa wafanyakazi na Kwa wateja pia.
Na wee una amini wale ni TRA???TRA wanajichanganya Sana kwenye suala lililotokea Tegeta la wanaodaiwa wafanyakazi wake kushambuliwa.

Wale sio TRA kwa taarifa yenu. TRA wanatumika tuTRA wanajichanganya Sana kwenye suala lililotokea Tegeta la wanaodaiwa wafanyakazi wake kushambuliwa.

Hebu nikumbushe Jambo moja kwenye Ile video ya jaribio la Kiluvya kuna mahali plate namba ya watekaji ilionekana? Maana kwenye movie ya Kamanda eti plate number ilibadilishwa😂Mwongo akiulizwa maswali mawili matatu lazima ajichanganye. Yaani kanuni ya uongo kuonekana ukweli ni kuwa uongo huo usihojiwe wala kujibiwa. You only say once🤣🤣🤣
Tangu vifo vile vitukufu vya Songwe wameacha ule ujinga, Unakimbiza mtu kisa vitenge pea 5!TRA wanajichanganya Sana kwenye suala lililotokea Tegeta la wanaodaiwa wafanyakazi wake kushambuliwa.
1. Kwanza, wanadai gari aina ya BMW T229 DHZ limeingia nchini kinyemela hivyo walikuwa wanalifukuza Hilo gari ili walikamate. Swali ni je Hilo gari liliingiaje nchini Kama sio hao hao TRA waliliruhusu?.
2. Pili, TRA wanadai kwamba kwenye regista yao gari yenye usajili wa T229 DHZ ni minibus na sio BMW. Swali linakuja waligundua Hilo suala usiku huo huko Tegeta ndipo wakaanza kumfukuza huyo mwenye gari la BMW? au waligundua kuhusu suala Hilo zamani ila wakawa wanamtafuta mmiliki au wanampa wito ila hafiki TRA ndipo wakaamua kumuambush huko Tegeta? TRA hawajafafanua vizuri kuhusu hili.
3. Tatu, TRA wanadai hawahitaji ruhusa ya mahakama kutekeleza majukumu yao. Ninachojua TRA kabla hawajakuvamia lazima wakupe barua ya summons au taarifa. Je walimpa mwenye gari taarifa kwamba wanamuhitaji?. Na Kama walimpa taarifa akakataa kutii kwanini hawakuongozana na polisi kumkamata kazini kwake, nyumbani kwake baadala ya kufukuzana barabarani Kama majambazi?
4. Nne, TRA hawajaweka wazi mfanyakazi aliyefariki alikuwa kitengo gani. Taarifa zake zipo juu juu. Hakuna maelezo ya ziada. Hata picha yake rasmi hakuna. Hili linazua maswali je alikuwa kweli mfanyakazi wa TRA au kundi la watu wasiojulikana.
5. Tano, kwanini dereva wa BMW alipiga kelele kwamba anatekwa. Kama alijua anatafutwa na TRA na kweli TRA wakamfikia kwanini apige kelele?. Kuna kitu kinafichwa hapa. Watu wengi hukamatwa na TRA lakini huwa hawapigi kelele za kutekwa. Tena kwenye kadamnasi Kama ile ya TEGETA.
6. SITA, kwanini TRA walisubiri mpaka usiku ndipo waanze kumsaka dereva wa BMW. Hawajaelezea sababu ya kutokumtafuta mchana au asubuhi na kuamua kumkimbiza usiku Tena Kwa kuizonga gari yake kwa mbele. TRA wanamaswali ya kujibu.
7. Mwisho, TRA waache kufukuzana na wateja kienyeji. Miaka kama minne nyuma Kuna wafanyakazi wa TRA walifariki wote kwenye kwa ajali wakati wakimfukiza bodaboda mwenye magendo huko Mkoani Songwe. Ni muda wa kutumia mbinu ambazo sio hatarishi kwa wafanyakazi na Kwa wateja pia.
Katika maelezo yote uliyoorodhesha, hakuna mahali ambapo naweza kusema wamejichanganyaTRA wanajichanganya Sana kwenye suala lililotokea Tegeta la wanaodaiwa wafanyakazi wake kushambuliwa.

🤣 🤣 🤣Wakiendelea kuamini kuwa hawapaswi kutumia askari tuta shout for help popote pale kwa jina la watekaji,
Wajitafakari!.
😲😲😲Kwa maswali haya naona ulitaka wakuandikie gazeti zima ndo uelewe na bado ungeuliza alivyoingia kazini alivaa boksa ya rangi gani.
Cha muhimu watuhumiwa watatu wameshakamatwa na kwa staili hii ya kujichukulia sheria mkononi na kwa polisi ninavyo wajua watu wajiandae kukamatwa kwenye zoazoa utaenda kushinda mahakamani kesi ndiyo lakini utakuwa umekaa gerezani mahabusu siyo chini ya mwaka mzima kwa kesi ya mauaji.
Kwahiyo ni muda wa kila mtu kuangalia step zake
Yaani upo kamaSipo popote mkuu.Nipo kama ngedere tu.