masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Msiwasikilize wanasiasa,
TRA wanatumia migambo kama 10 kwenye kafrem kadogo. Natamani ku attach video ya cctv ila nahisi watanirudia waniite muhujumu uchumi.
Jamaniii sijawahi shuhudia hiyo nguvu hata kama umekutwa unaiba kambi ya jeshi.
Aiseeee jitahidi hawa jamaa wakija uwe una leseni, ni wanyamaaa hawafai. Nahisi hata sakata la mama kibonge kariakoo kwenye vitenge kuna namna.
Hawa jamaaa wanafanya unyama huu leo manispaa ya Temeke, unyama unyama.