TRA yadaiwa kuvamia Waturuki na kufunga Ofisi jioni ya Leo (Desemba 14, 2020)

iNGEKUWA BUSARA HAWA WAWEKEZAJI WAKASAIDIWA HARAKA KUPATA HIYO ADDITIONAL CAPITAL HA HA HA HA 😛 😛 😛 😛 😛 WAO tra walioenda hapo wahojiwe kwanza [msaidizi mkubwa wa kuuwezesha uwekezaji nchini ni hii mamlaka ya TRA]
 
Ni moja ya tools itumiwayo na watawala kuwafanya watu wawe masikini ili watawaliwe kwa kuhakikisha wanawakamua watu kufa
 

Fanya biashara kwanza ndo useme hayo.Biashara ni Hadi uingie field unaweza ukawa na mtaji wa kutosha na still ukaliwa wote.
Biashara ni sawa na ndoa ni Hadi uingie kwanza ndo utaona changamoto yake,kwa theory tu biashara ni rahisi Sana.
Watu tumepoteza zaidi ya milioni 250 na atujatoboa bado na Hadi kumi huna still tunapambana
 
Wewe ni mjinga hasa. Mwekezaji anapokuja hapa au kwenda nchi yoyote, kwa upeo wako mdogo unataka awe na hela mfukoni? Watanzania bado sana!!

Biashara kubwa zote zinatumia pesa ya mabenki, yanaweza kuwa ya nje au ya ndani, au yote, ya nje na ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza au tuseme inawezekana ukalipa kodi kabla ya kufanya biashara kwa kukadiria/ kukisia kuwa faida itafikia kiasi gani mwisho wa mwaka, halafu mwisho wa mwaka mkishafanya mahesabu, ama unalipa palipopungua au wao wanarudisha zilizozidi.
Ni utaratibu wa kijinga. Unataka alipe kodi kutoka kwenye mtaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akishawafukuza hio biashara utaiendesha wewe mkuu?
 
Huelewi chochote wewe. Tumewekeza nchi nyingine, tunajua. Kwanza nchi nyingine wanahamasisha ukope kwenye mabank yao kwa sababu unawaongezea biashara.

Unawekeza mpaka kiasi fulani cha kutosheleza kutoa dhamana kwa bank, kisha unachukua mkopo.

TRA ni genge la wahuni. Na wengi wao ni low IQ. Fuatilia hata vyuo walivyosoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akishawafukuza hio biashara utaiendesha wewe mkuu?
 
Tuna safari ndefu sana. Safari hii kila mtu lazma ✋ umfikie tu
 
Kabla hujafanya biashara ya halali, ufanye utafiti kwanza! Usishindwe wewe, ukaanza kulaumu TRA. Umesema biashara haikufanya vizuri kwa sababu ya eneo! Je! Na hilo ni kosa la TRA?
Huna uzoefu au unatumia mambo ya nadharia zaidi..... Unajua kodi ya makadirio TRA wanakukadiria wana assume utaweza uza kwa siku lets say 40elfu kutokana na aina ya biashara yako, wanakupigia kodi humo kwa mwaka unatakiwa ulipe kiasi gani , mbaya zaidi wewe ulitegemea biashara yako ifanye vizuri lakini unakuta mambo hubadilika pia unaweza ukapata au pia unaweza ukakosa ndiyo maana ya kuwa risk taker wafanyabishara wanaelewa hili, sasa usinihoji mimi kuwa makosa ya kutofanya vizuri biashara ni la mfanyabishara ni swala la liuchumi usiwe mjinga sana,TRA walipaswa wakupe muda ili wakija chukua chao kiwe sawa na sio makadirio na wengine wanaishia kufunga biashara na kulipa kodi tu, kodi inatakiwa waipate kwenye faida
 

Najua inauma kukumbushia ukweli aliosema Lisu lakini ndio hivyo. Kwa kawaida bank ndio hutoa mikopo, waturuki wamatake risk kufungua kiwanda, bank watoe mkopo watu wapate ajira na kodi iende serekalini. Ama basi kuliko mitambo ifungiwe maana ipo, wakopeshwe wanaccm na waajiri wanaccm tu ili Tanzania ya viwanda ipatikane.

Tena kama kuna uwezekano katibu Mkuu wa ccm ndio akopeshwe, ili aendeshe hicho kiwanda katika utekelezaji wa ilani ya ccm, hapo itasaidia kuona hizo nadharia ya Tanzania ya viwanda inavyofanya kazi.
 
Una taarifa za ndani kuonesha kwamba nawe ni mnufaika wa kampuni hiyo. Wa-TZ tumefikia hatua ya kukumbatia watu wachafu kwa kuwa tu wanaleta pesa mifukoni mwetu.

Tueleze undani wao badala ya kusema hawajaanza tu. Kuna waturuki kibao nchi hii na hapo Afrikana, wapo waliojidai kutengeneza, kumbe wanaagiza tiles. Ndo wanaitwa wawekezaji. Mwekezaji gani ambaye anategemea mkopo wa ndani? Hakuna capital inflow hapo!
 
Akishawafukuza hio biashara utaiendesha wewe mkuu?

Biashara gani ?

Walikosa mkopo wa benki ya ndani, wakakwama

Hawakuwa na biashara

Hawakuwa na mtaji

Hawakuwa na nothing

Deport them and ban them from re- entry for 10 years!
 
Kabla hujafanya biashara ya halali, ufanye utafiti kwanza! Usishindwe wewe, ukaanza kulaumu TRA. Umesema biashara haikufanya vizuri kwa sababu ya eneo! Je! Na hilo ni kosa la TRA?
Hivi kuna mtu anaweza kufanya biashara bila utafiti kweli hata asipokua msomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…