Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kabla hawajaja wangetumia hizo equipment zao zenye thamani ya collateral kuomba mkopo KWAO!Hawa waturuki wameleta Equipment, zenye gharama ambayo inaweza kuwa collateral kwenye mkopo, wanaruhusiwa kuomba mkopo.
Halafu wewe utapata faida ganiBiashara gani ?????
Walikosa mkopo wa benki ya ndani, wakakwama
Hawakuwa na biashara
Hawakuwa na mtaji
Hawakuwa na nothing
Deport them and ban them from re- entry for 10 years!
Point yangu ni matumizi ya lugha. Anyway, wafanyabiashara (wawekezaji) gani hao? Wanakuja na briefcase ya makaratasi wakitegemea fedha ya ndani! Hapo cash inflow iko wapi? Watu wa aina hiyo wakiondoshwa kuna hasara gani?Umejua maana ya neno ila ume fail kuitafsiri....wote tunajua wafanyabishara ndiyo wanailisha hii nchi unaanzaje kuanza kumfungia virago instead ya kumuita offisini na kufanya mazungumzo na kufikia muafaka, wafanyabisahara sio wahalifu wanatakiwa wachukuliwe serous na sio mzaha mzaha, kuwa nao karibu wengi wanapitia magumu unakuta mtu amechukua mkopo faida haioni bado uje umfungie offisi huo mkopo ataulipaje na kodi atalipaje

Ohhhh [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] unasubiri wakufuate kosa hilo, watakubananisha ukienda kutaka huduma ya leseni au chochote unachotaka toka TRA wataanza na deni lako [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] na mapenati ya kutoshaMkichekewa hamuwezi kulipa kodi..amna binadamu anayependa kodi siku zote..alaf nashangaa kwann wanaokwepa kodi hawabanwi..kampuni ya mzee wangu hatulipi kodi lakini sijawahi kuona wamekuja [emoji23][emoji23]..
Pamoja na mapungufu ya TRA Ila wachangiaji wengi hapa wanakimbilia kuleta Siasa. Wewe kama mtanzania unaweza kwenda uturuki au nchi yoyote hata Kenya bila mtaji wa kutosha ukitegemea benki zao zikukopeshe na ukaachwa tu!?
Hao sio wawekezaji ni wababaishaji tu Ila Kama ilivyo kawaida wale wanaoipinga serikali ya awamu hii tayari wataleta story za CCM na CDM. Naona kuna mpumbavu ameshaanza kutamka Lissu, sijui anaingiaje.
Wewe unaumwa psychophobia na mamlaka za serikali utatetea upumbavu mwingi.Mkopo hauna Uraia yeyote anakopa tu na TRA wanapaswa kutumia njia za kistarabu kudai kodi siyo ubabe wa kishamba kwa njia haramu za kishetani kutengeneza mazingira ya Rushwa
Jioni ya leo, TRA imevamia na kufunga ofisi moja ambayo ilikuwa bado haijaanza kufanya kazi wakidai kodi. Hii ni kampuni ya Waturuki inayohusika na kutengeneza tiles za majengo. Mashine zililetwa lakini kwa bahati mbaya jamaa walishindwa kuanza kufanya kazi kutokana na mtaji kutokutosha.
Waturuki walitegemea kupata mkopo kwenye moja ya mabenki ya ndani, kitu ambacho kimechelewa. Mategemeo yao ilikuwa ni kupata mkopo mwezi wa 4 lakini hadi Desemba mkopo ulikuwa bado haujapitishwa. Kwa maana hiyo hawakuwa na jinsi ya kuanza operations zao.
Hii kampuni hipo maeneo ya Mbezi Afrikana, na kwa bahati mbaya, magari ya TRA wamevamia jioni hii na kufunga ile ofisi na kumchukua mtu anayesimamia ile mali maana wengine inaonekana wako nje ya nchi. Na kwa sababu hakuna kazi, ni mmoja wao amebakia pale kulinda mali.
Halafu wewe utapata faida gani
Mkuu umenena kitu cha maana sana. Kinachotokea ni elimu duni itolewayo na TRA na hao TRA kushindwa kuwa na common sense. Mtu kama hafahamu aelimishwe then afuate utaratibu. In fact TRA inahitaji mtu kama Dkt Magufuli, yaani mbunifu na mwenye maono.Nilifungua biashara nikapewa makadirio kama kawaida nikalipa awamu ya kwanza, biashara haikufanya vizuri kutokana na eneo awamu ya pili wakaendelea kunidai, biashara ikafa kwa kulipa mikodi na nadaiwa mpaka sahivi mapato mengine, nimefunga biashara, sijui kwanini TRA wasiwe USER FRIEND na walipa kodi, sahivi nataka kufungua biashara ingine mkoa mwingine naambiwa maliza kwanza deni la awali na uombe maombi ya kuhamisha TIN
duh kiongozi naona umeikubal move. ila nauliza je kwa sisi nao tukitaka kufanzia beshara uturuki na wao je na mtaji ukawa huna unaruhusiwa kuweka ofisi zako wakat unahangaikia mkopo bila kukatwa kodi?Na wasiporudi hao Waturuki itakuwaje?
READ! Taarifa inasema Waturuki wamekosa mkopo wa benki za ndani
Maana yake hawakuja na mtaji!
Ndio haya Marehemu Mengi alikuwa anayasema wakati ana bifu na Wahindi, walikuwa wanamwambia tumekuja na briefcase la makaratasi ya business plan za kutajirikia hapa hapa kwenu! Yani sisi ni vichwa panzi.
Magufuli fukuza hao Waturuki!
Thank God Almighty tumepata kichaa mzalendo Ikulu hapapatikii wazungu, hafagilii wageni!
ALHAMDULLILAH ALA KULLI HAAAL HADHA MIN FADLI RABBI
Wana kuondoa uwoga wa kula mtaji dah!Hiki kitu nakifahamu lakini ni unyanyasaji tunafanyiwa wewe haujaanza biashara ukajua faida yake halafu ukadiriwe kodi means wanakadiria kodi kwenye mtaji wakati uhalisia wanatakiwa kukadiria kodi kwenye Faida, unapokadiria kodi kwenye mtaji unaandaa mazingira ya kuua mtaji.
Kama nimekuelewa sawasawa, hawa Waturuki hawajaanza biashara bali wanasubiri Mkopo. Kama ndivyo, Sasa naomba kujua Kodi gani TRA wanaitaka? Maana Operations hazijaanza kwa sababu hawajapata Loan kutoka Bank.Jioni ya leo, TRA imevamia na kufunga ofisi moja ambayo ilikuwa bado haijaanza kufanya kazi wakidai kodi. Hii ni kampuni ya Waturuki inayohusika na kutengeneza tiles za majengo. Mashine zililetwa lakini kwa bahati mbaya jamaa walishindwa kuanza kufanya kazi kutokana na mtaji kutokutosha.
Waturuki walitegemea kupata mkopo kwenye moja ya mabenki ya ndani, kitu ambacho kimechelewa. Mategemeo yao ilikuwa ni kupata mkopo mwezi wa 4 lakini hadi Desemba mkopo ulikuwa bado haujapitishwa. Kwa maana hiyo hawakuwa na jinsi ya kuanza operations zao.
Hii kampuni hipo maeneo ya Mbezi Afrikana, na kwa bahati mbaya, magari ya TRA wamevamia jioni hii na kufunga ile ofisi na kumchukua mtu anayesimamia ile mali maana wengine inaonekana wako nje ya nchi. Na kwa sababu hakuna kazi, ni mmoja wao amebakia pale kulinda mali.
Lazima tu kuna kitu kama hichoHuyo Subbash hajaondolea na mchezo huu kweli?
Huyo Magufuli uliyemsema ambaye mimi mpaka sasa simjui ni nani, una hakika ataondoka au mpaka kifo kimtenganishe na dunia?Stupid move.
Hapo mnataka kuniambia kuna Mturuki ataleta pua yake tena hapa Tanzania?
They will come when Magufuli is gone