East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
Wao watu wazijama wajiongeze. Usha piga kufuri account ya unae mdai.. na unaona hakuna kitu unaendeleaje kuhesabu kodi ?Kiongozi ukifungua biashara alafu ikafa unaandika barua kuwajulisha kuwa biashara yako umeifunga hivyo wasiendelee kukudai tena kodi, lakini biashara ikifa alafu ukakaa kimya wao wanaendela kuhesabu tu kodi yao.