TRA yafafanua ongezeko la ushuru wa magari

Serikali inapata faida kubwa kwenye magari kuliko waliotengeneza. Ukiwekeza kiwanda cha kutengeneza magari hapa, wanaweza kukuombea ufe manake utakuwa unawakosesha riziki.
 
Taifa gumu hili kutoboa, tutabaki wote masikini, tutazidiana kitu kidogo tu
 
Taifa gumu hili kutoboa, tutabaki wote masikini, tutazidiana kitu kidogo tu
 
Nilikuwa na mpango wa kuuza haka kakiberenge na kuagiza kengine. Nimebadili mawazo nitakomaa nako hadi mambo yatakapokuwa sawa.
 
Dadekii wataua watu dahh
 
Roho mbaya ...gari sio chombo cha anasa ni kitendea kazi kama penseli ...maroho ya kimaskini shida sana....
 
Asante kwa tusi langu Mungu akuongezee hekima ili uwe unajibu kwa hekima! Ongezeko limekuja wakati huyo mtu wako hajalipa hiyo kodi hivyo mfano wako haiendani. Vehicle valuation inabadirika kila ikifika mwanzo mwa mwaka.
Halali ya kutukanwa...mmeja roho mbaya na UPUMBAVU wa maroho ya kimaskni....gari ni kama penseli au kitendea kazi na wala sio ANASA....noomyelilesana
 
Kuna wengi sana ambao hili litawakumba hasa waliokopa ili waagize vyuma maana wengi hupukutisha account 😂😂😂 unakuta mtu kakomba hela zote kwenye account kabakisha mill.4 tu
Suluhisho ni kufufua magari ya zamani.
 
Asante kwa tusi langu Mungu akuongezee hekima ili uwe unajibu kwa hekima! Ongezeko limekuja wakati huyo mtu wako hajalipa hiyo kodi hivyo mfano wako haiendani. Vehicle valuation inabadirika kila ikifika mwanzo mwa mwaka.
Ibadirika mwanzoni mwa mwaka kwa bajeti ipi ya bunge? CCM acheni uwendawazimu aisee.
 
Leta ushahidi kuwa walivuruga makusudi, na kuvuruga kutaongezaje kodi.
Acha bange wewe, unatumia masaburi kujenga hoja zako za kiutopolo hapa.
 
Kwa wenzangu tuliolowea kwenye magari ya mzungu tunawaambia wakaze tu na sisi tutakaza tunavyojua hapo TRA wataendelea kutuona nayo road kama kawa. Mi5 tena
 
Kodi ya gari ndogo IST imeongezeka kwa wastani wa Tsh 1,800,000.

Mwaka jana gari IST kodi yake ilikuwa watani wa Tsh 4,708,662 lakini kuanzia January mwaka huu 2020 kodi yake ni Wastani wa Tsh 6,441,722.
 
Usione watu wanazungumza peke yao 🤣 🤣barabarani ukadhani ni wehu!?
 
Asante kwa tusi langu Mungu akuongezee hekima ili uwe unajibu kwa hekima! Ongezeko limekuja wakati huyo mtu wako hajalipa hiyo kodi hivyo mfano wako haiendani. Vehicle valuation inabadirika kila ikifika mwanzo mwa mwaka.
We jamaa ka mkumer vile! Nimekusoma tangu mwanzo upumbavu wako naona bado unatiririkia humo humo tu mbwa we
 
Washauri wa waziri mpango wangekua na akili kama zako nchi ingesonga mbele sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…