TRA yafafanua ongezeko la ushuru wa magari

TRA yafafanua ongezeko la ushuru wa magari

Kwa kweli kama ulikuwa na mpango wa kuagiza gari inabidi utulie kidogo, vuta pumzi kwanza then sikilizia upepo wa kusi ukivuma kwanza, otherwise kaisari anaweza akaipiga gari mnada pale bandarini.
 
Huo ndio ukweli

Pata picha sasa gari yako ndio iko kwenye meli kuja Bongo unakutana na hio kodi ya Tsh. 31m, gari itaishia kupigwa mnada tu.
 
Tuwakomalie wabunge wabadilishe hizi kodi za enzi za ujamaa kwenye magari. Japo unasema unalinda mazingira lakini kodi kubwa hivyo kwenye mtumba una viwanda vya magari?

Gari ni kitu kinachosaidia kukuza uchumi. Ingekuwa ni amri yangu ningeweka kodi karibu na sifuri. Kwenye magari ya kazi kama pickup na fuso watu wangenunua bila ushuru hata mia, ikiwezekana nawapa na hela ya asante😀😀

Kulalamika haya mambo haitusaidii kitu. Inabidi wabunge, wanasheria nk walifanyie kazi.
 
Pata picha sasa gari yako ndio iko kwny meli kuja Bongo unakutana na hio kodi ya Tsh. 31m,gari itaishia kupigwa mnada tu.
Yeah, wanaoumia ni walioagiza gari ambazo zipo kwenye meli kwa sasa. Ni mwendo wa maumivu tu no way. Either utafute hela u top up au gari ipigwe mnada, hasara kubwa hii. Tofauti ya 2-5mil tu inaweza kukufanya uliache gari bandarini hakyanani.
 
Hio ni hasara tayari aisee, ila kwa wenye ist huku mtaani tayari zimeshapanda thamani.

Zitakua hazishikiki sasa.
 
Hivi mtu anaposema bei halisi ana maana gani? Hizo bei za awali hazikuwa halisi? Bora angesema thamani ya shilingi au kupanda kwa bei ya magari hayo. Na kama hakuna badiliko then kwanini kodi iongezeke?

Ni kinyume cha sheria na uvunjifu wa katiba kupandisha kodi bila idhini ya bunge. Badiliko la kodi ni lazima liidhinishwe na bunge
Baadae bunge litapewa taarifa na kumwaga wino.
Wabunge wenyewe si Ni kina Babu nanihii, Mzee Halima & Co, yule aliyeshindwa na HK.
 
Hayo magari TRA inayosema yameshuka kodi ni yapi hayo labda pengine wadau wataponea huko.
 
Zambia,Congo kuna magari mengi saaana mazuri aisee,nadhani kodi yao ni reasonable.
Kuna gari moja Zimbabwe jumla kodi waliikata kama one milion of TZS ila huku bongo gari ile kodi kwa wakati huo walikuwa wanachukua kama milioni 10 hivi.
Nenda hizi c center za be forward Japan au SBT kafanye utafiti juu ya hili
 
Back
Top Bottom