Mwambie boss wako apunguze kupost post masifa yake ya pesa mtandaoniAma kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.
Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.
Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.
Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.
Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Wala sio roho mbaya na hakuna kosa lolote kisheria alilofanya. Kwa mfanyabiashara kuanika vipato vyake hadharani ni kuwarahisishia kazi TRA kukufuatilia. Huyu kijana kama kaamua kuwa mfanyabiashara aache tu huo upuuzi.Acha roho mbaya na wivu WA kimasikini
Kwani ni kosa kisheria Kufanya yote hayo ...
Tafuta hela kijana chuki za kuchukia wenye hela hazitakusaidia
Sasa we unasema saa,cheni zangu sjui mapetete zote zinathamani ya mabilionWala sio roho mbaya na hakuna kosa lolote kisheria alilofanya. Kwa mfanyabiashara kuanika vipato vyake hadharani ni kuwarahisishia kazi TRA kukufuatilia. Huyu kijana kama kaamua kuwa mfanyabiashara aache tu huo upuuzi.
Vunjabei mwenyewe ana degree ya hayo mambo ya biashara. Yule atachomoa kirahisi.Hii nchi wengine tumeamua kujifanya MACHINGA wa kudumu kwasababu ya mambo kama haya.
Stay Low,Play Low kelele zikizidi tu ukajulikana mambo kama haya ni ya kawaida sana,iwe kwa kuenewa iwe kwa haki.
Ukitaka ishi kwa amani hii nchi,chagua kufahamika na ndugu zako tu hao wengine huku nnje wakikujua sana tena wakajua una hela.. ndio utafukunyuliwa kama hivi sasa.
wanaopona ni waajiriwa wa serikalini tu,ila Mfanyabiashara tena Mkubwa unaliwa taiming tu.
Nasubiri VUNJABEI nae,soon tutaskia Mlio.. we ngojea.
Mzee wa Kino tuwasamehe tu vijana hawa wasiojielewa. Kuna watu huko town kila siku wanadeposit zaidi ya 300m mauzo ila huwezi kuwajua na wanaishi poa tu. Huyu jamaa makelele yamezidi huku akijua kabisa serikali inatafuta hela kwa udi na uvumba.Sasa we unasema saa,cheni zangu sjui mapetete zote zinathamani ya mabilion
Ukiwa benki unapost una hesabu maburungutu,sasa kwanini tra wsikufate na watu wote tunawajua jnsi gani jamaa wanavyopenda mpungaaa
Ova
Unahisi Diamond ni Chadema au CUF? ana Kadi ya kijani na wamemnyoosha, Huwezi kueleweka na chama kizima kuna viwatu havitokuelewa tu.Utasubiri sana wazee wachama hawaguswi. Ndio wanaotoa ufadhili.
Umesahau historia ya Hamza?
Duuh hii hatariUnahisi Diamond ni Chadema au CUF? ana Kadi ya kijani na wamemnyoosha, Huwezi kueleweka na chama kizima kuna viwatu havitokuelewa tu.
na hivyo viwatu ndio vi final say sasa,vikikohoa tu, TRA wanafunga hadi mageti ya nyumbani kwako.
🤭😂Ndio maana sitakujaga niwaelewe awa wanafki na mitaa imewastukia imewakacha bora watu wawe busy na soka au mandonga kuliko awa matapeli wa kaskazin
hahahaha nimecheka kinoma
Hili tutaliangalia kwa karibu,,TRA Tegeta wanashida sana. Ni wasumbufu sana kwa wafanyabiashara, na ni waonevu sana.
Asante Ma,hicho ndo nimemaanisha hayo mambo yao kutangazatangaza vitu vyao na kuongeza masifuri kunawaponza.Wala sio roho mbaya na hakuna kosa lolote kisheria alilofanya. Kwa mfanyabiashara kuanika vipato vyake hadharani ni kuwarahisishia kazi TRA kukufuatilia. Huyu kijana kama kaamua kuwa mfanyabiashara aache tu huo upuuzi.
Nashangaa hawa washamba pesa wanaioneshaonesha mitandaoni tuMzee wa Kino tuwasamehe tu vijana hawa wasiojielewa. Kuna watu huko town kila siku wanadeposit zaidi ya 300m mauzo ila huwezi kuwajua na wanaishi poa tu. Huyu jamaa makelele yamezidi huku akijua kabisa serikali inatafuta hela kwa udi na uvumba.
Huo utaratibu uki fail u afanyaje? Kwa nnavyojua mim hatua ya kuchukua mzigo kwenye akaunti ni ya mwisho kabisa baada ya kukosa ushirikiano kutoka kwa muhusika, kama alitii wito na wakingia kwenye negotiation si rahis akaunti kuchukuliwa hela tatizo la bongo ujanja ujanja, umaarufu na kujuana kwingi ni kichaka cha uhalifu, laity ungejua mfanyakaz wa kima cha chin analipa kod sh ngap kwa mwaka kwenye hali hii ngumu ya uchumi wala usingelalamika!!Huwezi fidia kodi kihunni kuna utaratibu wa kukaa na mteja na kuongea aelewe au kumpa utaratibu wa kulipa sio kuzuia akaunti zake
Acha aonje joto la jiwe.CCM sio kitu ya kuishobokea.Huyu si ndiye alikuwa anatumbuiza kwenye mikutano ya kampaini ya CCM. Wejilipa!
Mwambie alipe kodi,
Na muendele kuanika maburungutu
Yenu,macheni yenu mtandaoni
Ohh sijui nmenunua Mali za mln 300,700 sjui nmetoboa pua nmelipa mln 10,lipeni kodi
Ova
Wakati tukiendelea kuwaumu TRA walioko kazini.Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.
Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.
Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.
Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.
Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
TRA wakachukue 30% yaoWakati tukiendelea kuwaumu TRA walioko kazini.
Tujikumbushe!
TRA imeshinda Tribunal zote na wanakuwa na advantage maana tayari wanakuwa wamekamata hela zakoHaina shida ila fuata due process. Usipofuata due process ujue mahakamani unashindwa mchana kweupe.