TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.

Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.

Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.

Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.

Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Mwambie boss wako apunguze kupost post masifa yake ya pesa mtandaoni

Ova
 
Acha roho mbaya na wivu WA kimasikini

Kwani ni kosa kisheria Kufanya yote hayo ...

Tafuta hela kijana chuki za kuchukia wenye hela hazitakusaidia
Wala sio roho mbaya na hakuna kosa lolote kisheria alilofanya. Kwa mfanyabiashara kuanika vipato vyake hadharani ni kuwarahisishia kazi TRA kukufuatilia. Huyu kijana kama kaamua kuwa mfanyabiashara aache tu huo upuuzi.
 
Sasa we unasema saa,cheni zangu sjui mapetete zote zinathamani ya mabilion
Ukiwa benki unapost una hesabu maburungutu,sasa kwanini tra wsikufate na watu wote tunawajua jnsi gani jamaa wanavyopenda mpungaaa

Ova
 
Hii nchi wengine tumeamua kujifanya MACHINGA wa kudumu kwasababu ya mambo kama haya.

Stay Low,Play Low kelele zikizidi tu ukajulikana mambo kama haya ni ya kawaida sana,iwe kwa kuenewa iwe kwa haki.

Ukitaka ishi kwa amani hii nchi,chagua kufahamika na ndugu zako tu hao wengine huku nnje wakikujua sana tena wakajua una hela.. ndio utafukunyuliwa kama hivi sasa.

wanaopona ni waajiriwa wa serikalini tu,ila Mfanyabiashara tena Mkubwa unaliwa taiming tu.

Nasubiri VUNJABEI nae,soon tutaskia Mlio.. we ngojea.
Vunjabei mwenyewe ana degree ya hayo mambo ya biashara. Yule atachomoa kirahisi.
 
Sasa we unasema saa,cheni zangu sjui mapetete zote zinathamani ya mabilion
Ukiwa benki unapost una hesabu maburungutu,sasa kwanini tra wsikufate na watu wote tunawajua jnsi gani jamaa wanavyopenda mpungaaa

Ova
Mzee wa Kino tuwasamehe tu vijana hawa wasiojielewa. Kuna watu huko town kila siku wanadeposit zaidi ya 300m mauzo ila huwezi kuwajua na wanaishi poa tu. Huyu jamaa makelele yamezidi huku akijua kabisa serikali inatafuta hela kwa udi na uvumba.
 
Utasubiri sana wazee wachama hawaguswi. Ndio wanaotoa ufadhili.

Umesahau historia ya Hamza?
Unahisi Diamond ni Chadema au CUF? ana Kadi ya kijani na wamemnyoosha, Huwezi kueleweka na chama kizima kuna viwatu havitokuelewa tu.

na hivyo viwatu ndio vi final say sasa,vikikohoa tu, TRA wanafunga hadi mageti ya nyumbani kwako.
 
Duuh hii hatari
 
Wala sio roho mbaya na hakuna kosa lolote kisheria alilofanya. Kwa mfanyabiashara kuanika vipato vyake hadharani ni kuwarahisishia kazi TRA kukufuatilia. Huyu kijana kama kaamua kuwa mfanyabiashara aache tu huo upuuzi.
Asante Ma,hicho ndo nimemaanisha hayo mambo yao kutangazatangaza vitu vyao na kuongeza masifuri kunawaponza.
Wamuulize Tyson,R.Kelly,Dr Dre hao wamepiga mpunga mrefu enzi zao wakaundiwa zengwe wakaperembwa.
Hapa Dunia ya tatu kutangazatangaza ukwasi wako ni kukaribisha mafisi tu.
 
Mzee wa Kino tuwasamehe tu vijana hawa wasiojielewa. Kuna watu huko town kila siku wanadeposit zaidi ya 300m mauzo ila huwezi kuwajua na wanaishi poa tu. Huyu jamaa makelele yamezidi huku akijua kabisa serikali inatafuta hela kwa udi na uvumba.
Nashangaa hawa washamba pesa wanaioneshaonesha mitandaoni tu

Ova
 
Huwezi fidia kodi kihunni kuna utaratibu wa kukaa na mteja na kuongea aelewe au kumpa utaratibu wa kulipa sio kuzuia akaunti zake
Huo utaratibu uki fail u afanyaje? Kwa nnavyojua mim hatua ya kuchukua mzigo kwenye akaunti ni ya mwisho kabisa baada ya kukosa ushirikiano kutoka kwa muhusika, kama alitii wito na wakingia kwenye negotiation si rahis akaunti kuchukuliwa hela tatizo la bongo ujanja ujanja, umaarufu na kujuana kwingi ni kichaka cha uhalifu, laity ungejua mfanyakaz wa kima cha chin analipa kod sh ngap kwa mwaka kwenye hali hii ngumu ya uchumi wala usingelalamika!!
 
Mwambie alipe kodi,

Na muendele kuanika maburungutu

Yenu,macheni yenu mtandaoni

Ohh sijui nmenunua Mali za mln 300,700 sjui nmetoboa pua nmelipa mln 10,lipeni kodi

Ova

Kabisa kodi ilipwe na waendelee na matangazo yao kua wao ni matajiri
 
Mama said atakuwa mhusika mkuu ili apate ya mshahara
 
Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.

Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.

Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.

Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.

Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Wakati tukiendelea kuwaumu TRA walioko kazini.

Tujikumbushe!
 
Attachments

  • VID-20221231-WA0037.mp4
    3 MB
Haina shida ila fuata due process. Usipofuata due process ujue mahakamani unashindwa mchana kweupe.
TRA imeshinda Tribunal zote na wanakuwa na advantage maana tayari wanakuwa wamekamata hela zako
 
Back
Top Bottom