TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz


TRA huwa hawatoi pesa, wanafunga akaunti.
 

Baada ya kusikia Kuna jamaa ana bilioni 57 naona umeleta taarifa ya diamond kumpaisha.
 
Unaweza kukuta tra wameyafanyia kazi yote uliyoandika ila mwishowe wakaamua kuja na hili tulilopewa hapa....
 
Kwa hiyo Chadema sasa hivi mnasema hakuna kodi za dhulma?

Huu ndio ujinga wenu, CHADEMA wanajngiaje hapo. Serikali iwanyooshe wajinga nyie. Alipe hiyo milioni mia saba. Mnaiabudu CCM yakiwakuta mnaanza kuilaumu CHADEMA huku CCM ikiwanyuka vizuri.
 
Mkishapata hela mnadharau wasomi mnawaona hawana maana... mkiambiwa muwe mnaajiri ma tax experts mnadharau.... 'aaaah wasomi kitu gani bwanaaa, mwite Ricardo Momoooooo'....

Sasa TRA atawanyoosheni mpaka akili zikae sawa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndio maana sitakujaga niwaelewe awa wanafki na mitaa imewastukia imewakacha bora watu wawe busy na soka au mandonga kuliko awa matapeli wa kaskazin

Endelea kuwaelewa CCM . Unazunguka kumbe lengo ni kuisema CHADEMA. Naombea CCM iwafilisi kabisa kwa akili za kijinga. Mmebaki na CCM lakini kutwa kuisema CHADEMA. Bullshit
 

Achana na CHADEMA pambana na TRA. TRA imekupora milioni mia Saba bado unalia na CHADEMA?. Huo si ujinga, nenda ukalie na TRA. Mara CHADEMA wapo ikulu, Mara CHADEMA wamemsaidia Nani?. Unaishangilia ccm, wakati wa shida unailaumu CHADEMA.
 

Walishampa muda. Kuna issue nyuma ya pazia.
 
Alipe kodi ikiingia biashara kodi lazima .....ingekuwa account binafsi sawa ....wasafi walipe kodi
 
Ndio maana sitakujaga niwaelewe awa wanafki na mitaa imewastukia imewakacha bora watu wawe busy na soka au mandonga kuliko awa matapeli wa kaskazin
Mwambie alipe kodi,

Na muendele kuanika maburungutu

Yenu,macheni yenu mtandaoni

Ohh sijui nmenunua Mali za mln 300,700 sjui nmetoboa pua nmelipa mln 10,lipeni kodi

Ova
 
Mchengwala = Mchengerwa. Wewe chawa bora ungekaa tu kimya hakuna unachojua wala kuelewa. Hakuna dude kubwa mbele ya serikali. Hakuna serikali makini duniani inayoweza tingishwa na raia wake.
Huyu mleta uzi ni mp-mb-v sana

Ova
 
Awe makini sana. Diamond ni maarufu tu ila sio powerful kama anavyodhani. Pia kuishi kiamerika sana kwenye nchi ya kijamaa inaweza ikam-cost. Bado ni mapema ashauriwe tu. Yule kijana ni msikivu akionywa mapema.
Huko USA Kwenyewe kuna watu maarufu na powerful wanabanagwa
Na IRS sasa yeye nani

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…