TRA wajaribu kumpa Diamond muda wa kulipia taratibu, flexible payment hata Kwa mwaka mmoja au miwili, TRA wasiwe na haraka ya kukamata au kufunga account, biashara ni ngumu sana, unaweza uza na print receipt ya bil 3 Leo hii, baada ya mwezi TRA wanataka pesa ya Kodi Yao ilihali wewe hata malipo hujapata , ikaenda hadi miezi sita hujapata pesa Yako , TRA wao wanataka ulipe, tena wana kuambia lips kidogo ili hali wewe una ngoja malipo,hatimae wanaanza vitisho na hatimae wana kuja kibabe.
TRA wana takiwa wavumilie na wamsaidie mteja na wamuelewe, na pia waelewe nature ya biashara, sio kutuma control numbers za kulipia, wana takiwa wamuuite Diamond wakae mezani watafuta njie na hata kumshauri jinsi na taratibu nzuri za kulipa Kodi na wao wajue Kuna tatizo gani.
Biashara zingekuwa Rahisi kila mtu angekuwa Billionaire, TRA watambue hilo.