TRA yafungulia akaunti zote za Wafanyabiashara zilizokuwa zimefungwa kutokana na madeni ya kodi

Kwa nini walifungia na kwa nini wamezifungua kipindi hiki?
 
Kuna watu vichwa panzi wametuharibia uchumi sijui yalikua yanawaza kwa brain ipi? Shame on them!
 
TRA sasa wanavunja sheria; mkwepaji wa kodi anapaswa kupata staili yake
Sheria ya kuunda TRA ya mwaka 1996 inaunda vilevile TRA Tax Tribunal ambapo walipa kodi na Serikali hushitakiana kutafuta haki. Baada ya Tax Tribunal asiyeridhika hufuata mfumo wa rufaa hadi Mahakama Kuu then Court of Appeal.

Mwendazake hakuwa mtu wa kufuata Sheria, ndipo akaunda Tax force ambayo ilikuwa inawanyang'anya wafanya biashara fesha kwa kuwatishia kesi za Anti Money Laundering.

May Magufuli continue to rot in hell
 
Magufuli alikuwa dikteta,, angeifikisha pabaya Nchi yetu pendwa,,

Hakika Mungu ametenda miujiza
 
Kama nilivyosema kuna watu wachache wanatumia sheria vibaya kukandamiza wafanyabiashara hilo ndio tatizo la msingi na hawa ndio wanaipa sura mbaya TRA.

Lakini malalamiko mengine ya wafanyabiashara pale utaratibu wa sheria unapofuatwa ni uelewa mdogo kwa upande wao wanawajibu gani.

Uwezi kuwalaumu wafanyabiashara entirely kwa sababu japo sheria zilikuwepo muda ila utumikaji waje aukuwa consistent.

Wafanyabuashara walizoea utamaduni legelege wa TRA ilipobadilika na kuanza kufuata sheria ndio malalamiko yalipoanza, issue hapo sio TRA ni mazoea. Humans by nature don’t like changes especially when they view it as being adverse ndio msingi wa malalamiko.

Just as about people were getting accustomed to the new TRA working culture, yanakuja maamuzi ya kupunguza nguvu ya ukusanyi wakati malalamiko yenyewe ni vitu ambavyo vya kawaida sana nchi za wenzetu.

Tatizo kubwa zaidi sio TRA, ni walipa kodi.
 
Walizuia pesa ambazo zingezalisha, je wata- compasate hasara zilizosababishwa na kuzuia mzunguko wa fedha hizo.
 

Matumizi mabaya ya kodi ndio yanafanya watu wasilipe kodi. Sina huduma ya maji halafu naona Chato Airport.
 
Hawa jamaa akili na taaluma zao zinashiliwa na wanasiasa .je walishikilia tu akaunti bila kuvuta mihela ya akaunti hizo? Kuna tetes kila walipozfunga wLiflash mpunga wLiokuta. Je mpunga wamerudsha? Kama wanahabar hamkumbana hyoo Jamaaa mumelisati Taifa!!
 
Aliyekua kamishna mkuu aliyeondolewa alikua na PhD. Hii itakua PhD ya Mambo ya saluni.
Utamfungiaje mtu akaunti? Maana yake Ni kwamba asizalishe kabisa, halafu asilipe Kodi kabisa. Sawa na kukata mkono unaokulisha.
 
The macro and Microfactors factors ,the challenges to the Entrepreneurs sustainability!!
 
Habari mbaya sana kwa wazee wa legacy, Tanzania mpya, make Tanzania great again,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…