hujui kilichokua kinatokea kuna kampuni X ilikuwa haina kesi na TRA bali TRA ilikua inamdai mtu A yule A akasema na shindwa kulipa kwa sababu naidai kampuni X,maafisa wa TRA kwa kurely na maneno ya A wakaenda moja kwa moja Benki na kukwapua not less than 400m bila hata kuwa na nakala yoyote ya uthibitisho wa madai ya A kwa kampuni X au uwepo wa hukumu ya mahakama iliyokuwa imethibitisha madai ya A dhidi ya kampuni X.Benki nao wakajichanganya kwa ama kwa kua mamluki au hofu wakala ruhusu fedha za X kutolewa bila idhini ya Kampuni X as today Benki walisha mpoteza mteja wao Kampuni X aliyekuwa na deposit kubwa kabisa.TRA sasa wanavunja sheria; mkwepaji wa kodi anapaswa kupata staili yake
400