TRA yafungulia akaunti zote za Wafanyabiashara zilizokuwa zimefungwa kutokana na madeni ya kodi

TRA yafungulia akaunti zote za Wafanyabiashara zilizokuwa zimefungwa kutokana na madeni ya kodi

Acha upumbavu wewe unaongea usichokijua. Yaani JK aliyekua anakusanya bil.750 kwa mwezi ndiye bora kulikonhuyu aliekua anakusanya karibu tril. 2 kwa mwezi. Hebu tukumbushe ni mradi gani wa maana wa kimkakati uliofanywa na JK.
Unakaa unamshambulia JK bila staha. Maendeleo ya hii nchi hayajaanza miaka 5 iliyopita. 750 aliyokusanya jk haikuhusisha pesa za almashahuri, mabango na baadhi ya mashirika.
 
Hujui kuhusu kodi ila una general knowldge na hadithi ndefu tu.
PIT unaweza kujikadiria na ukapeleka hesabu kama CT.
VAT halipi mfanyabiashara. WT zote na interest na penalties utaratibu ni wa wazi. Mfumo wa kukusanya unajulikana ni wa C#. Acha porojo.
Hata sijui umeandika upuuzi gani hapo ulipoweka abbreviation za PIT, CT, WT na C#, all I can say nonsense tupu kutokana maelezo mingine uliyotoa.

Kodi unaweza jikadiria kama wewe umejisajili mwaka wa kwanza tu tena inategemea na kodi gani VAT ina utaratibu wake, income tax inautaratibu wake na corporate tax ina utaratibu wake. Baada ya hapo prepayments kabla ya mwisho wa mwaka estimate zinakuwa based on previous year, unalipa vipi inategemea kodi gani na mfumo upi.

Na ulipaji wake ni tofauti VAT ina mfumo wake na income/corporate tax zina mfumo wake.
 
Hata sijui umeandika upuuzi gani hapo ulipoweka abbreviation za PIT, CT, WT na C#, all I can say nonsense tupu kutokana maelezo mingine uliyotoa.

Kodi unaweza jikadiria kama wewe umejisajili mwaka wa kwanza tu. Baada ya hapo estimate zinakuwa based on previous year. Na ulipaji wake ni tofauti VAT ina mfumo wake na income/corporate tax zina mfumo wake.
Una porojo hujui. Una elimu general kuhusu kodi. Jifunze acha kutumia elimu kidogo uliyo nayo kuandika mambo mengi yasiyo na msingi. Hizo abbrebiation ni za kawaida na zinatumika sana na watu wa kodi.

Hakuna kitu kinaitwa kujikadiria mwaka wa kwanza tu.

Kuna mwaka wa biashara, na mfanyabiashara au kampuni unajikadiria deadline ni march kama unafunga mwaka december.

Mwezi wa sita wa mwaka unaofata unapeleka final za hesabu za mwaka uliopita wa biashara ambao ulijikadiria. Hapo mwezi wa tatu unakuwa umejikadiria tena na Mzunguko unaendelea.
 
Kinachoendelea ni kwa mujibu wa sheria au matakwa ya mtu tu?

Sio mnashangilia tu
CCM tangu lini kafuata sheria?
SIRRO kasema wao "polisi" wanajsikia upelelzi kesi ndogo iwe walau miezi sita" na kesi kubwa "walau miaka miwili" hivi huyo mtu anajielewa kweli? hii nchi ina wajinga wengi sana na tutaendelea hivi mana kuna wapuuzi utawaskia "MITANO TENA KWA MAMA" , m
 
Una porojo hujui. Una elimu general kuhusu kodi. Jifunze acha kutumia elimu kidogo uliyo nayo kuandika mambo mengi yasiyo na msingi. Hizo abbrebiation ni za kawaida na zinatumika sana na watu wa kodi...
Aren’t you just pathetic tangu lini kodi ukajikadiria mwaka wa pili au ukakubali kukadiriwa; if you do so or agree someone to do so you are just plain stupid.

Ndio maana wengine tunasema elimu ya kodi inawapiga chenga. Mwaka wa kodi unapangwa na serikali.

Kinachotokea ni kwamba kama mwisho wa mwaka kwa calendar ya serikali ni tarehe fulani December . Basi kuna tarehe ya kulipa mara ya kwanza ambayo inatakiwa kuwa estimated based on previous year actual bill ambayo utatakiwa kulipa nusu, inapofika mwisho wa mwaka ukipiga hesabu zako ukajua actual income tax unayotakiwa kulipa kuna tarehe yake ya kumalizia malipo yaliyobaki, kama kodi kubwa zaidi ya mwaka uliopita unaweza ongezewa muda.

VAT ina utaratibu mwingine kabisa na income tax/corporate tax.
 
Salaam

Bila shaka, hii ni habari njema!
IMG_20210522_092347.jpg
 
TRA sasa wanavunja sheria; mkwepaji wa kodi anapaswa kupata staili yake
Kuna baadhi yetu hushadidia wengine kubanwa kua ni wakwepa Kodi wanastahiri adhabu lakini wakati huohuo wao hawajawi Julio's Kodi Sana Sana atakwambia kalipa kupitia kuinunua chumvi bila kujihoji hao wanaolipa hawanunui cumvi na pia wawakilishi wetu Kama wanaonesha mfano wa kutokulipa Kodi katika kile wanachopokea uzalendo wao ukoje sisi wengine sisi wanao tuwakilisha tufate mfano wao?

Tanzania haita jenngwa na wachache yatupasa tuijenge wote kila anayeitwa mtanzania kwa kulipa Kodi hakuna kua juu ya Kodi site the chini ya kodi
 
Aren’t you just pathetic tangu lini kodi ukajikadiria mwaka wa pili au ukakubali kukadiriwa; if you do so or agree someone to do so you are just plain stupid
Unatumia maneno ya kuudhi wakati haupo sahihi. Kila mwaka mpya wa biashara mfanyabiashara ambaye si presemptive tax payer lazima ajikadirie. Awe ana kampuni analipa CT au ni individual T/A analipa PIT.


"Small traders are taxed by presumptive tax" system, whereas medium are taxed based on the annual profit determined from the audited accounts. This is a tax system where individuals are taxed based on their annual turnover.

Every registered company and individuals who are required to prepare the audited account shall file to TRA a statement which shows the estimated tax payable in each year of income.

Una elimu ya kawaida ya kodi hujui vitu vingi ila unaitumia kuweka porojo.
 
Unatumia maneno ya kuudhi wakati haupo sahihi. Kila mwaka mpya wa biashara mfanyabiashara ambaye si presemptive tax payer lazima ajikadirie. Awe ana kampuni analipa CT au ni individual T/A analipa PIT...
Excuse my language kama nimekukwaza

Duh Ila we jamaa unachanganya mambo kweli. Hizo abbreviation zako bado zinanipa shida kuzielewa. Tatizo ni langu kurahisisha mambo si vibaya ukaweka full words ili tuwe sawa.

Ila nikikusoma naona maswala ya kodi yanakuchanganya.

VAT ni kodi ya ongezeko la thamani (analipa mtu yeyote anaeuza bidhaa au kutoa huduma) inategemea na set rate ya bidhaa au huduma inayotolewa na kuna taratibu zake za kukusanya.

Income tax ni kodi ya mapato walipaji ni wengi ata biashara (except makampuni yanayolipa corporate tax) na kuna formula zake inategemea na individual tax payer.

Corporate tax ni kodi ya faida kwa ltd na plc; nayo ina formula zake.

Mwaka wa serikali unatofauti zake kwenye income tax/corporate tax na VAT; na tarehe za malipo.

Tofautisha kwanza ivyo vitu. Tatizo wewe unaweka kila kitu kwenye kapu moja.

Anyway asubuhi njema 👋
 
MATAGA kila wanaposhika hapashikiki!

Legacy uchwara inazidi kupotea siku hadi siku!
 
Unaongelea miradi ipi wewe ?
Miradi yote mikubwa ya jiwe amekopa kila mahali huko kwa mabeberu na amekomba pesa za mifuko ya jamii, korosho n.k.
View attachment 1793042

Huo ndio utaratibu duniani njia za kistaarabu muda wake unapoisha kinachofuata watu wanavamia account yako wanakomba, halafu ndio mnaenda mahakamani kama unadhani umeonewa..

Kuna wanafanya kazi wachache TRA ni shida kwa kutumia sheria vibaya kujinufaisha, ila tatizo kubwa zaidi kwenye kodi Tanzania ni uelewa mdogo wa wafanyabiashara kwenye sheria na taratibu za kodi.

Anyway kwa utaratibu huu wa kubembelezana hakuna miradi itakayo kamilika ontime, something will have to give kati ya debt obligations, government running cost au miradi.

Sio ngumu kuelewa miradi ndio itakayo simamishwa, TANESCO washaanza na usambazaji wa umeme wakati hela za REA ni mkopo sasa sijui shida ipo wapi.

Hawa wabunge wetu na wafanyakazi wenye posho and other ‘benefits in kind’ mfano anaishi nyumba ya serikali, gari la serikali anawekewa mafuta, wanapata mikopo yenye interest nafuu kama sio bure na marupurupu mengine; watu kama hawa nchi za wenzetu wanatakiwa kulipa income tax yote hayo.

Ninauhakika huo utaratibu wahusika wangeujua upoje halafu bunge lipendekeze kuiga huo mfumo; ndani ya bunge kungewaka moto na malalamiko ya unyonyaji.

Swala la kodi Tanzania bado sana, na haya maamuzi ni kurudi nyuma; sio kusonga mbele watu inabidi wazoee utaratibu wa kodi.
 
Unajidanganya.Tafuta fedha wenzio wanagweza jiulize pamoja.na kufungiwa waliweza kusurvive JPM aliyechukua hizo hela kafa.Nachekaga kijinga jinsi dunia lilivyorahisi kuishi haiyaji presha za kukomoana. Ukiondoka sisi twala shenanigans mwenyewe hakukaa nayr aliondoka
Sijakuelewa, ulitaka kusema nini?
 
Excuse my language kama nimekukwaza

Duh Ila we jamaa unachanganya mambo kweli. Hizo abbreviation zako bado zinanipa shida kuzielewa. Tatizo ni langu kurahisisha mambo si vibaya ukaweka full words ili tuwe sawa.

Ila nikikusoma naona maswala ya kodi yanakuchanganya.

VAT ni kodi ya ongezeko la thamani (analipa mtu yeyote anaeuza bidhaa au kutoa huduma) inategemea na set rate ya bidhaa au huduma inayotolewa na kuna taratibu zake za kukusanya.

Income tax ni kodi ya mapato walipaji ni wengi ata biashara (except makampuni yanayolipa corporate tax) na kuna formula zake inategemea na individual tax payer.

Corporate tax ni kodi ya faida kwa ltd na plc; nayo ina formula zake.

Mwaka wa serikali unatofauti zake kwenye income tax/corporate tax na VAT; na tarehe za malipo.

Tofautisha kwanza ivyo vitu. Tatizo wewe unaweka kila kitu kwenye kapu moja.

Anyway asubuhi njema 👋
Sawa boss. Ni vifupisho tu vya maneno, si kipimo cha uelewa.
CT ni corporate tax,
PIT ni persnal inacome tax
WT ni witholding tax n.k
 
Unaongelea miradi ipi wewe ?
Miradi yote mikubwa ya jiwe amekopa kila mahali huko kwa mabeberu na amekomba pesa za mifuko ya jamii, korosho n.k.
Hilo wala halina ubushi, hila sio muda mrefu utaelewa kukopesheka bila idhini ya IMF na WD sio jambo rahisi.

Wakopaji walikuwa wanamuamini Magufuli anauwezo wa kulipa, tuombe na mama apewe imani ile ile waliyokuwa nayo kwa hayati.
 
Back
Top Bottom