Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
kasome upya hiyo habari. wote waliokuwa wamefungiwa account zao sababu ya madeni pesa zao zimelipa madeni waliokuwa wanadaiwa na serikali na taasisi zake... kwa hiyo kama ulikuwa unadaiwa kiasi fulani hutokikuta na penalt juu...Katika gazeti la mwananchi, TRA wamefungulia accounts za wafanyabiashara zilizokuwa zimefungwa
Accounts zilikuwa na mabilioni ya fedha lakini unarudishiwa account inasoma zero ,haina hata senti tano
TRA wanasema fedha zilitumika kulipa taasisi zilizokuwa zinaidai serikali
Imagin serikali inapora fedha za wananchi halafu inazifanyia matumizi yake,inalipa madeni
Serikali ya mwenda zake ilikuwa inawanyanyasa wananchi kwa kisingizio cha kodi,
Je lini serikali itarejesha fedha hizo kwenye account za wafanyabiashara ili wafanyabiashara wazifanyie biashara zao?
Kwa hiyo waliokuwa wamefungiwa account ni wale waliokuwa wanadaiwa na TRA pamoja na taasisi nyingine za serikali na pesa zao zimefidia madeni yao.
kwa hiyo si kila mfanya biashara alifungiwa account bali wadaiwa sugu na pesa zilizo katwa ni wanzo daiwa pamoja na penalt.......