BAKOI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,211
- 2,329
Unafahamu geti la mwisho la ushuru wa mazao unapotoka mkoani kuingia Dar????Mkuu si kweli kuna siku nimepanda gari dogo limebeba boksi 27 za nyanya toka shamba la jirani hadi hapa Dar jamaa hawakutozwa ushuru wa mazao.
Acheni uzushi. Saa nyingine ikitokea umetozwa ni uhuni wa watendaji wa chini siyo agizo la Waziri au raisi au TRA makao makuu.
Kwa vile wewe mwenye mzigo unaogopa utaharibika inabidi ulipe tu badala ya kukomaa kudai haki yako kea kuchoma kulipa huo ushuru.
Halafu faham kuna vitu vinaitwa Bahati wakati mwingine.
Kwa mfano kuna jamaa yangu karibia Mara tatu hajawahi kusimamishwa na TRA , na akawa anasema Hayo mambo ni uzushi na kutuambia sisi ni waongo. Lakini siku yalipomkuta alijifanya chizi Kwamba sukari yake inataka kushuka , alichoambiwa ikishuka tutakupeleka hospital na Hii Gari itakwenda yadi kwetu.
Kikubwa mkuu jipange unapokuwa road Hayo mambo ya kubishana kuhusu agizo la raisi Fanya ukiwa umebeba mahindi au maharagwe. Lakini Sio Mali kuoza..
Imagine unabishana na wakata ushuru kuhusu boksi 27 Kwamba hazikatiwi ushuru raisi Kasema coz hazizidi tani moja halafu ni Mali kuoza. Jitahidi kujiongeza unapokuwa msafiri.