TRA yavunja rekodi ya makusanyo ya mwezi Desemba 2020

Upumbavu unao wewe mbweha nenda benk kasikie malalamiko ya wateja waliofungiwa kienyeji kinyume cha Sheria, wewe ni mnufaika wa huo uonevu ndiyo maana unatetea upumbavu wako kwa visingizio vya kifala, wanafunga Account nyingi kienyeji pasipo kufuata utaratibu wala Sheria acha kutetea ujinga ndiyo maana wafanyabiashara wakubwa wamehamishia pesa zao nje ya Nchi, hakuna Sheria kwenye utawala wenu mnatumia ubabe tu, Afisa wa TRA akifika kwenye Account ya mfanyabiashara huwa juu ya Sheria na wengine huwatishia kuwabambikia kesi kesi utakatishaji fedha uhujumu uchumi ili mfanyabiashara awe muoga ashindwe kudai haki zake, uonevu upo hata uje na utetezi gani hakuna wa kukusikiliza kwani wewe ni mnufaika wa huo uonevu na unyanyasaji kwa wafanyabiashara
 
Wivu wa kike na kupora pesa za watu kwenye mabenk vina uhusiano gani? Acha kuja na mifano ya kijuha utambue watu wametaabika lakini wewe unanenepa kuoitia mateso dhidi yao.
 
Wanufaika wa uonevu mateso manyanyaso wanayopata wafanyabiashara sasa wameamka wapo busy kutetea upumbavu wao
 
Nikuhakikishie siku TRA wakifuata hizo sheria 100% wafanyabiashara wengi watafunga biashara zao. Mfano kutotoa risiti ya EFD faini ni 4.5Mil lkn maofisa wanajaribu kuwahurumia na kuwaelimisha zaidi na zaidi. We unadhani TRA wakisema watumie sheria kama ilivyo bila kuingiza utu patakalika hapa? NAWAPONGEZA SANA TRA kwa ufanisi wao hasa kutumia utu katika ukokotoaji wa kodi. Hata wakulima hawatozwi ingawa sheria inasema watalipa kuanzia installment ya 3 na 4 tu kutokana na wakulima hutegemea mavuno ambayo hujulikana kuanzia mwezi july. Lkn umesikia wakulima wanatozwa kodi wauzapo mazao yao? Acheni lawama bhana mnafanya wasijitoe kuhudumia kisa wapuuzi kama nyie. We unadhani TAKUKURU ndio hawachukui RUSHWA? mishahara yao yenyewe mbuzi tu. Hakuna ofisa wa TAKUKURU akakataa rushwa ya 10M kwa jinsi walivyo masikini wale jamaa. TUPENDE NA TUWAPE MOYO WATUMISHI WANAOFANYA MISHAHARA YETU INAPATIKANA KWA WAKATI.
 
Nani amefungiwa account bila kufata utaratibu? inaanza unapewa demand notice muda ukipita muda uliwekwa unapewe reminder hapo ukipita pia ndio AGENCY NOTICE hutolewa kwa mabenk yote ili kukomboa kodi. Mbona TRA hawajafunga Account yako? Au ya Jirani yako ambaye hadaiwi? Afu kodi tangu lini mtu akabambikiwa? Kama kampuni wanajikadiria wenyewe sasa unataka TRA wakiona mapungufu kwenye financial statements zako wasidai kodi yao uliyokwepa. Kwa sole propriator ambao ni presumptive kanuni yake iko wazi kabisa..
Mfano mauzo yako ni 60 MIL kwa mwaka unatoa kwanza mil 14 ambayo kodi yake ni 450,000 kisha kiasi kinachobakia ambacho ni mil 46 utazidisha na 3.5% then ukipata jibu utajumlisha na ile 450,000 kupata kodi halali. Sasa hapo unabambikiwa vipi. Kama hujui uliza sio umekaa na sebuleni na kitecno chako unazushia watu vibaya.
 
Mambo ya Tanzania hayakuhusu, wewe ulihama nchi huko kwenu corona imekwisha?
 
Dhuluma na mauaji ya kutisha akina Ben Saanane, Azory Gwanda Lissu kaponea kudra za Mwenyezi Mungu.
Huna ushahidi wowote ule ni sawa na mbwa anayebweka nje ya nyumba.
 
Wewe ndiyo umekaa na kisimu chako cha kichina kuharalisha uonevu unyanyasaji wenu kwa wafanyabiashara,kubali ukatae hizo Sheria hazifuatwi huwa wanafunga Account kienyeji tu pasipo kufuata utaratibu wala Sheria na mfanyabiashara akipiga kelele kulalamika anabambikiwa kodi kubwa kienyeji hata kama ana Tax Clearence saaafi, huwa mkiamua kutengeneza mazingira ya Rushwa huwa mnatengeneza visingizio kibao vikiwemo vitisho vya kuwabambikia kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi ili wafanyabiashara waogope kupiga kelele watoe Rushwa ama pesa zao kuporwa kienyeji kwa njia haramu za kishetani, ukubali ukatae uonevu upo na wengi wameumia na baadhi hata kufa kwa pressure baada ya account zao kufungiwa kiuonevu na wewe na wenzako wanufaika wa uonevu unyanyasaji huo.
 
Mkuu siku zote hizo bado unalialia tu, weka ushahidi au fungua kesi. Hizi blah blah za JF hazisaidii. Kama wewe una uchungu na nia dhabiti nenda kafungue kesi. Tanzania ni nchi huru kila raia ana uwezo wa kufungua kesi. Majungu na kusambaza mipasho zilipendwa weka ushahidi mahakamani ndio kazi zao hizo.
 
Hapo ulipo unanuka pesa za Rushwa za uonevu lakini ukumbuke kuwa wafanyabiashara mnaowaonea nao wana familia zao wameajiri watu wengi mkiwafungia account kienyeji mnawaathiri vibaya mno, hakuna mabaya yasiyo na mwisho ipo siku mungu atawaumbua mwisho wa ubaya ni Aibu
 
Kesi kwa mahakamaccm? au mahakama za mataifa mengine? Tangia lini mahakamaccm ikatoa haki kwa mtu anayeilalamikia Serikali ya CCM? Hizo mahakama zilikuwa huru kipindi cha nyerere mwinyi mkapa kikwete lakini sasa mahakamaccm ni mali binafsi ya CCM hupati haki huko endapo unakataa uonevu wa Serikali ya CCM
 
Mambo ya Tanzania hayakuhusu, wewe ulihama nchi huko kwenu corona imekwisha?
Tanzania ni sehemu ya Dunia hii ni vyema itende haki pasipo uonevu unyanyasaji wowote kwa wafanyabiashara
 
Ww hujui kuwa tax clearance hutolewa hata kama umelipa ile installment ya kwanza? Yaan hata kama hujalipa second installment unapewa Tax clearance mapema tu kipindi cha january hadi march. Kupata tax clearance sio kwamba hudaiwi kodi hapa. Ingekuwa hivyo kodi ingelipwa kwa mkupuo mmoja ili uipate hiyo tax clearance. Nilichogundua una maisha magumu kinyama hivyo umekalia wivu tu. Wenzako tunadrive magari makali kwa kulitumikia taifa vizuri. Pambana na hali yako sio chuki kibao kisa unanuka umasikini boya wewe. Rushwa inapigwa na babako. We lala hapo sebuleni na kitecno chako alichokununulia shemeji yako ututkane vizuri. Mwanaume lazima ujitume sio vijembe kila uchao. Nadhani mwezi may Utumishi watatoa nafasi TRA kaombe ili hizo RUSHWA uzile mpaka upate utajiri uutakao maana unaonekana ni masikini sana na mwenye wivu wa kike.
 
Wewe ndiyo una maisha magumu mie pesa zangu nimehamishia Nchi zingine hata ukinyemelea kwenda kufunga Account kienyeji unakuta vicent vya kula tu, wengine hatuna mda wa kuja kusaka ajila tayari tumeshiba ndiyo maana hatutaki Tabia zenu mbovu za kuja kutupora pesa zetu kienyeji kishamba kishetani kisa mmepewa Dhamana mnatumia hovyo kuwapora wafanyabiashara haki zao kuwabambikia kodi, kufunga Account kuwatishia kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi, wewe endelea kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara lakini utambue kuwa pesa za Rushwa ni haramu hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa, umasikini unao wewe mganga njaa ndiyo maana kutwa unakula njama kunyemelea pesa za watu kwenye mabenk mnazipora ndiyo maana mabenk wanalalamikiwa sana na sasa mabenk yatafirisika kwa kukosa wateja baada ya imani kutoweka juu ya usalama wa pesa za wafanyabiashara
 
Mlipania hiyosifa mpaka mkashikilia akaunti ya st. Jude kudai hela shule inayosaidia yatima na watoto toka familia maskini kabisa!?? Sasa imefungwa!
Tatizo ni impact ya mnachofanya...mna frustrate wafanyabiashara tena bila kujali halimbaya ya korona. Leo Ngurdoto hotel kubwa na pendwa aliyolala JK maranyingi kule Arusha imekuwa hosteli za wanafunzi!!!
We are heading to nowhere because of your unexpected misconduct you Taaira ohh sore Tiiaraei
 
TRA hufunga Account kienyeji pasipo kujua kuwa wanawaumiza mabenk kwa kuonekana si sehemu salama za kuweka pesa za watu, mabenk waandamane wakatae huo upumbavu endapo wanataka kulinda usalama wa pesa za wateja wao, kinyume na hapo mabenk wajiandae kufirisika kwa kukimbiwa na wateja
 
Mabenk amkeni andikeni barua TRA kukataa upumbavu wa kuja kufunga Account za wateja wenu kienyeji kishamba kwa njia haramu za kishetani kwa kutengeneza mazingira ya Rushwa kuwakomoa watu uonevu usio na tija kwa Taifa
 

We always have to aim higher, get better!! That means we have to challenge ourselves, challenge the things we do - always!! We do not, i repeat NOT sit on achievements and sip a drink!!! We cannot just sit and appreciate things we have done and forget thousands of things we have either not done right, or not done at all. And for your information - it is an illusion to think there are countries to be explored!! This is not how you challenge a mind of a fellow citizen - challenge a fellow with a fact, not hypotheticals, spins and backflips!!
 
Watumishi wanatunyonya Sana, yaani karibia nusu ya pato kwa mwezi wanachukua wao, na bado wanadai nyongeza,

Sioni kama Taifa namna tunaweza fanya maendeleo kama kipato almost chote tunalipana mishahara tu.
Wakati unasema hivyo,pia unatakiwa kujua kwamba mlipakodi no moja tz ni mtumishi,wewe wakati unajadiriwa na TRA kulipa laki nne KWA mwaka yeye hulipa kila mwezi, wapo watumishi hulipa mpaka m6 au zaidi kwa mwaka,achana walioapao laki 6,m1,2,3 n.k kwa mwaka ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…