Wafanyakazi ndo watoa huduma unataka tena wapunguzwe na unafikiri mishahara hii wanayolipwa inaendana na gharama za maishaIpo haja ya serikali ama kupunguza mishahara ama kupunguza wafanyakazi pesa zinazotumika kulipia mishahara tu ni nyingi Sana.
Sasa kama hujaenda shule, hilo linamhusu nini mtu anayedai haki yake?
Wafanyakazi wao hawana pa kukwepea kodi afadhali wewe hadi unafukuzana na TRA.
Wamesaidiwa na (DPP Revenue Authority- DRA)
Asante kwa uchambuzi mzuri Hamad, uchaguzi umekwisha, sote tushirikiane kujenga Nchi yetu!Twende pamoja nami kwenye uzi huu.
Niseme tu kwamba Rais wa Jamhuri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John P. Magufuli ni Shujaa wetu.
Kwa maana tukifuatilia kwa umakini tulipokuwa, tulipo sasa na tunapokwenda hakika tuna kila sababu ya kumpongeza Shujaa wetu Dkt.John P. Magufuli
☆Kwa Mujibu wa Taarifa ya ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, ni kuwa Mamlaka hiyo imefanikiwa kukusanya kiasi cha Tzs Trilioni 2.088 katika kipindi cha mwezi Desemba 2020, ukilinganisha na lengo la kukusanya kiasi cha Tzs Trilioni 2.072, ambayo ni sawa na ufanisi wa 101.00%, kiwango hiki cha makusanyo kwa mwezi hakijawahi kufikiwa katika historia ya mamlaka.
☆Hii imefanya jumla ya makusanyo kuwa ni Tzs Trilioni 9.983 kwa kipindi cha nusu ya mwaka wa fedha 2020/21, ambapo huu ni ufanisi wa wastani wa Tzs Trilioni 1.664 kwa mwezi ikilinganishwa na wastani wa makusanyo ya Tzs Trilioni 1.500 kwa kipindi kama hiki kwa Mwaka wa Fedha 2019/20, Ifahamike hii ni sawa na ongezeko la 11.00%.
☆Hii inatuonyesha kuwa ni dhahiri shahiri kuwa watanzania kwa ujumla wamekuwa ni wazalendo wa hali ya juu kwa kuendelea kulipa kodi kwa hiari, liacha ya changamoto mbalimbali.
☆Jambo la kuzingatia ili tuendelee kuhakikisha nchi yetu inaendelea kusimama imara na kuimarika kiuchumi ni kila mtanzania kuendelea kuonyesha uzalendo kwa kuwajibika kudai risiti, kutoa taarifa ya upotevu wa mapato na kutoa mrejesho wa kuwezesha mamlaka ya mapato kutekeleza majukumu kwaa ufanisi, hata hivyo ikumbukwe kudai risiti yenye taarifa sahihi, siyo suala la hiari, ni takwa la kisheria.
》Nachelea kusema PAMOJA TUIJENGE TANZANIA
#PamojaTuijengeTanzania
Unaonaje ukaondoka ukatuachia mashetani wetuWajinga ndio waliwao.
Taarifa ya UONGO IMEBUMBA.
SELIKALI HII NI YA KISHETANI IMEJAWA NA UONGO.
Rudi tena kwenye vyanzo vyako vya taarifa wakupe taarifa vizuri halafu ndo urudi hapa kwenye mjadala. Na usisahau kujifunza aina za vyanzo vya mapato.Mwanzoni modality ya ukusanyaji mapato ulikuwaje ukifananisha na sasa. Maana kwa sasa TRA ndio inakusanya vyanzo vyote hata vilivyokuwa vikikusanywa na halmashauri. Tukianzia hapo ndio tutajua hizi ni sifa za kijinga ama vipi.
Nini maana ya Tume huru?Mnafanya kazi nzuri sana!
Mnaogopa nini kuwa na Tume huru ya Uchaguzi?
Sasa wewe mjanja usiyeliwaWajinga ndio waliwao.
Taarifa ya UONGO IMEBUMBA.
SELIKALI HII NI YA KISHETANI IMEJAWA NA UONGO.
Sioni uhusiano wa ulichokiandika na thread hii! Pia unatoa tuhuma bila ushahidi, nadhani hapo hujaonyesha kuwa wewe ni greater thinker! Bila ushahidi, hakuna haki ya kuzungumza!Wajinga ndio waliwao.
Taarifa ya UONGO IMEBUMBA.
SELIKALI HII NI YA KISHETANI IMEJAWA NA UONGO.
Tatizo lake amehemkwa na taarifa za kizandiki alizomezeshwa kutoka kwa wazandiki wenzakeSioni uhusiano wa ulichokiandika na thread hii! Pia unatoa tuhuma bila ushahidi, nadhani hapo hujaonyesha kuwa wewe ni greater thinker! Bila ushahidi, hakuna haki ya kuzungumza!
Usihofu mkuu ni suala la muda lili ahidiwa wakati wa uchaguzi!Aongeze basi mishahara hata kwa hao TRA wanaingia lawama kila kona kutimiza lengo la makusanyo walilopewa na Rais.
TUWE NA SHUKRANI NA WATU WANAOUMIA KWA AJILI YETU.
Twende pamoja nami kwenye uzi huu.
Niseme tu kwamba Rais wa Jamhuri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John P. Magufuli ni Shujaa wetu.
Kwa maana tukifuatilia kwa umakini tulipokuwa, tulipo sasa na tunapokwenda hakika tuna kila sababu ya kumpongeza Shujaa wetu Dkt.John P. Magufuli
☆Kwa Mujibu wa Taarifa ya ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, ni kuwa Mamlaka hiyo imefanikiwa kukusanya kiasi cha Tzs Trilioni 2.088 katika kipindi cha mwezi Desemba 2020, ukilinganisha na lengo la kukusanya kiasi cha Tzs Trilioni 2.072, ambayo ni sawa na ufanisi wa 101.00%, kiwango hiki cha makusanyo kwa mwezi hakijawahi kufikiwa katika historia ya mamlaka.
☆Hii imefanya jumla ya makusanyo kuwa ni Tzs Trilioni 9.983 kwa kipindi cha nusu ya mwaka wa fedha 2020/21, ambapo huu ni ufanisi wa wastani wa Tzs Trilioni 1.664 kwa mwezi ikilinganishwa na wastani wa makusanyo ya Tzs Trilioni 1.500 kwa kipindi kama hiki kwa Mwaka wa Fedha 2019/20, Ifahamike hii ni sawa na ongezeko la 11.00%.
☆Hii inatuonyesha kuwa ni dhahiri shahiri kuwa watanzania kwa ujumla wamekuwa ni wazalendo wa hali ya juu kwa kuendelea kulipa kodi kwa hiari, liacha ya changamoto mbalimbali.
☆Jambo la kuzingatia ili tuendelee kuhakikisha nchi yetu inaendelea kusimama imara na kuimarika kiuchumi ni kila mtanzania kuendelea kuonyesha uzalendo kwa kuwajibika kudai risiti, kutoa taarifa ya upotevu wa mapato na kutoa mrejesho wa kuwezesha mamlaka ya mapato kutekeleza majukumu kwaa ufanisi, hata hivyo ikumbukwe kudai risiti yenye taarifa sahihi, siyo suala la hiari, ni takwa la kisheria.
》Nachelea kusema PAMOJA TUIJENGE TANZANIA
#PamojaTuijengeTanzania
Ina uhusiano gani na ukusanyaji wa kodi/mapato?!Mnafanya kazi nzuri sana!
Mnaogopa nini kuwa na Tume huru ya Uchaguzi?
Vile vile asisahau jambo la msingi na lenye tija kwa mfanyakazi ni kupokea mshahara ndani ya wakati na ukiangalia ni kitu ambacho kinafanyika kiusahihi. Kwa maana unaweza ukaongezewa mshahara kisha usiupate kwa wakati ndipo ubaya unapotokea.Usihofu mkuu ni suala la muda lili ahidiwa wakati wa uchaguzi!
Ni dhulma gani ya kutisha iliyotokea na imetokea kwa nani?Unaijengaje Nchi iliyojaa dhuluma za kutisha na isiyo na haki kwa raia wake? Haiwezekani kuijenga Nchi kama hii tusijidanganye.
Vile vile asisahau jambo la msingi na lenye tija kwa mfanyakazi ni kupokea mshahara ndani ya wakati na ukiangalia ni kitu ambacho kinafanyika kiusahihi. Kwa maana unaweza ukaongezewa mshahara kisha usiupate kwa wakati ndipo ubaya unapotokea.
Hivyo jambo la msingi na lenye tija ni kupata mishahara kwa wakati, na katika hili Mhe.Rais amefanikiwa kwa 100%
Dkt.John P. Magufuli ni Jemedari wetu shupavuHapana. Tafuta jina jingine
Ni dhulma gani ya kutisha iliyotokea na imetokea kwa nani?
Ni raia asiye na haki? Na haki gani amepokwa?
Nchi tutaijenga kwa uzalendo huku tukifanya shughuli zetu kwa kuzingatia misingi ya sheria na kanuni mbalimbali zinazoongoza nchi yetu.