TRA yaweka Rekodi Mpya. Yakusanya Trilioni 7.79 kati ya Julai na Septemba 2024

TRA yaweka Rekodi Mpya. Yakusanya Trilioni 7.79 kati ya Julai na Septemba 2024

In u

In uwongo tuu huo.wamekusanya wapi na kwa nani??yaani wanajikuna na kucheka wenyewe.mtaani hela hakuna,halafu halafu wanadanganya wamekusanya nyingi.watupe na vyanzo tuone mwananchi wa kawaida kachangia sh ngapi???
Huoni hata aibu.Mtaa gani huo usio na pesa za kitanzania? Kama hufanyi kazi unataka pesa zije kimiujiza?
 
Miradi ipi iliyokwama?ulikwenda lini Hazina ukakuta imekauka? Wewe ndiye msimamizi wa hazina? Ofisi ipi ambayo hali ni tete? Usipende kuropoka ropoka tu hapa kama mlevi wa gongo
Wakandarasi wa kibongo wengi tu wanadai hawajalipwa halafu unasema miradi haijakwama.
 
Hayo makusanyo yanaenda wapi?! Maana tumesikia haya mapambio tokea enzj ya JPM
Kwani wewe ni kipofu wa macho na akili? Huoni miradi ya maendeleo inayojengwa?huoni barabarani zikijegwa? Huoni shule, zahanati,vituo vya afya vikijengwa? Huoni Elimu bure ikiendelea kutolewa?huoni ruzuku ikiendelea kutolewa katika pembejeo? Huoni watumishi wa umma wakiendelea kulipwa mishahara yao,kupandishwa madaraja,kulipwa malimbikizo ya madeni yao?
 
ni jambo jema sana niko na nyie bega kwa bega uzalendo ni kulipa kode kwa wakati rafiki zangu
 
Tengenezeni Barabara kuu za mikoani ,zimekuwa viraka nchi nzima.
Mfano :
1. Dar- Moro - Dodoma
2. Arusha ,- Moshi - Dar
Haya makusanyo, mwexinujayo yatakiea 22 trillion, hakuna wa kuhakiki.
Chedema wapitie makusanyo watuambie
 
Miradi ipi iliyokwama?ulikwenda lini Hazina ukakuta imekauka? Wewe ndiye msimamizi wa hazina? Ofisi ipi ambayo hali ni tete? Usipende kuropoka ropoka tu hapa kama mlevi wa gongo
Mtu mwerevu akikwambia jambo la kipumbavu nawewe ukijua lakipumbavu ukalikubali atakudharau...Mwl Julius K Nyerere.

Samia anakuona takataka!
 
Back
Top Bottom