Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni takataka kwa wanasiasa wanaokuona unashabikia upuuzi wao. Wewe ni KINYAA!!Labda wewe ndiye takataka
Unaumia ukiwa wapi?Wewe ni takataka kwa wanasiasa wanaokuona unashabikia upuuzi wao. Wewe ni KINYAA!!
Pamoja na hayo usisahau deni la taifa ni zaidi ya trillion 92.
Ikumbukwe pia kuwa Zaidi ya Dollar Billion 19 zimetengenezwa na serikali ya Rais Samia ndani ya muda mfupi wa uongozi wake.Pamoja na hayo usisahau deni la taifa ni zaidi ya trillion 92.
Ester Luxury hamzioni?Hayo makusanyo yanaenda wapi?! Maana tumesikia haya mapambio tokea enzj ya JPM
Tr 98!Pamoja na hayo usisahau deni la taifa ni zaidi ya trillion 92.
Mama anajua ku mobilise uwekezaji na biashara na ulipaji Kodi wa hiari.
Tunajenga Nchi kwanza ,OC ndio nini?OC zimetoka 98 hadi 30% maofisini hali ni tete, miradi imekwama, hazina imekauka ila TRA wanavuka lengo la makusanyo!!!
Wanaropokaga tuu hao punguaniMiradi ipi iliyokwama?ulikwenda lini Hazina ukakuta imekauka? Wewe ndiye msimamizi wa hazina? Ofisi ipi ambayo hali ni tete? Usipende kuropoka ropoka tu hapa kama mlevi wa gongo
Ni madai ya awamu ya 5 japo hata Sasa Kuna madai ila yanalipwa.Ziara za Makonda hukuona wakandarasi wanadai mpaka mali zao zinauzwa na mabenki?? Au unajitoa ufahamu
🚮🚮🚮 Magari gani hayo ya kununuliwa Kila siku tena ya kifahari? Punguza ujinga basi,ndio maana Kuna Bajeti hela zinaenda hukoNusu ya hizo pesa wananunulia magari ya kifahari, kulipana posho nono,kulipa mafao ya wenzao wao na matanuzi mengineyo ndiyo maana wamekuwa ving'ang'anizi wa madaraka.
Mbona serikali hailipi sasa madeni ya miradi ya barabara ya mwaka wa fedha 2023/24 kama kweli inavunja rekodi, Hovyo kabisa
Miradi gani ambayo imefanyika kwa pesa za serikali! Miradi mingi ni pesa za wahisani na mikopo!Kwani wewe ni kipofu wa macho na akili? Huoni miradi ya maendeleo inayojengwa?huoni barabarani zikijegwa? Huoni shule, zahanati,vituo vya afya vikijengwa? Huoni Elimu bure ikiendelea kutolewa?huoni ruzuku ikiendelea kutolewa katika pembejeo? Huoni watumishi wa umma wakiendelea kulipwa mishahara yao,kupandishwa madaraja,kulipwa malimbikizo ya madeni yao?
Zinasaidia nini hizo gari mkuu zaidi ya kuwanufaisha tu viongozi wa CCM!? Yaani wakandarasi wanadai pesa zao halafu serikali inaoendelea kununua magari na kuficha pesa hazina!?Ester Luxury hamzioni?
Ni madai ya awamu ya 5 japo hata Sasa Kuna madai ila yanalipwa.
Pia Halmashauri zinaweza kuwa na madeni ambayo Serikali Kuu haijui,so sio rahisi kulipwa kama hayajahakikiwa na kuripotiwa Hazina.
Hakuna kilichosimama 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DAl4j49t_lQ/?igsh=MXA5OTFtaG1tZW5vNw==
Siyo uwongo. Watanzania wanalipa kodi bila shurti. Tatizo ni kuwa zaidi ya asilimia 50% ya makusanyo haya yanaenda kulipa madeni ya mikopo yetu ya nje na ndani. Asilimia nyingine 40% inalipa mishara na posho za watumishi wa umma wakiwemo wabunge wetu waheshimiwa. Hiyo 10% inayobaki ndiyo tunayotumia kwa maendeleo yetu, hivyo impact ya ongezeko la makusanyo hayo halionekani.In u
In uwongo tuu huo.wamekusanya wapi na kwa nani??yaani wanajikuna na kucheka wenyewe.mtaani hela hakuna,halafu halafu wanadanganya wamekusanya nyingi.watupe na vyanzo tuone mwananchi wa kawaida kachangia sh ngapi???
Ok if you are collecting such amount money we are proud of you our tax collector is your chance to advice our dear president to bring back Toto Afya card
Acha uzushi wako hapa weweNusu ya hizo pesa wananunulia magari ya kifahari, kulipana posho nono,kulipa mafao ya wenzao wao na matanuzi mengineyo ndiyo maana wamekuwa ving'ang'anizi wa madaraka.