Ongezeko la mahitaji ya Fedha za Kigeni ni makubwa kuliko yanayoingia na sababu ziko wazi,tunajenga maelfu ya mamiradi ikiwemo reli ndefu zaidi Afrika,mabwawa ya umeme,viwanja vya ndege,miradi ya maji,ununuzi wa mitambo ya uwekezaji nk
Vyote hivyo vinaleta pressure kwenye Fedha za Kigeni.
By the way hatuna upungufu wowote unaoathiri uchumi ndio maana hujawahi kosa bidhaa dukani kisa hakuna forex.
Punguza ujinga wewe bichwa kubwa akili kisoda.
Msingi wa Ukuaji mkubwa wa Uchumi ni mauzo ya bidhaa na Huduma Nje ya Nchi,unaposema hatupati Fedha nyingi unaonesha jinsi ulivyo kiazi 😄😄