TRA yaweka Rekodi Mpya. Yakusanya Trilioni 7.79 kati ya Julai na Septemba 2024

Nusu ya hizo pesa wananunulia magari ya kifahari, kulipana posho nono,kulipa mafao ya wenzao wao na matanuzi mengineyo ndiyo maana wamekuwa ving'ang'anizi wa madaraka.
 
Nusu ya hizo pesa wananunulia magari ya kifahari, kulipana posho nono,kulipa mafao ya wenzao wao na matanuzi mengineyo ndiyo maana wamekuwa ving'ang'anizi wa madaraka.
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ Magari gani hayo ya kununuliwa Kila siku tena ya kifahari? Punguza ujinga basi,ndio maana Kuna Bajeti hela zinaenda huko
 
Miradi gani ambayo imefanyika kwa pesa za serikali! Miradi mingi ni pesa za wahisani na mikopo!
 
Ester Luxury hamzioni?
Zinasaidia nini hizo gari mkuu zaidi ya kuwanufaisha tu viongozi wa CCM!? Yaani wakandarasi wanadai pesa zao halafu serikali inaoendelea kununua magari na kuficha pesa hazina!?
 
In u

In uwongo tuu huo.wamekusanya wapi na kwa nani??yaani wanajikuna na kucheka wenyewe.mtaani hela hakuna,halafu halafu wanadanganya wamekusanya nyingi.watupe na vyanzo tuone mwananchi wa kawaida kachangia sh ngapi???
Siyo uwongo. Watanzania wanalipa kodi bila shurti. Tatizo ni kuwa zaidi ya asilimia 50% ya makusanyo haya yanaenda kulipa madeni ya mikopo yetu ya nje na ndani. Asilimia nyingine 40% inalipa mishara na posho za watumishi wa umma wakiwemo wabunge wetu waheshimiwa. Hiyo 10% inayobaki ndiyo tunayotumia kwa maendeleo yetu, hivyo impact ya ongezeko la makusanyo hayo halionekani.

Ingefaa tukaomba kuruhusiwa kuahirisha malipo ya madeni yetu ya nje kwa miaka kama kumi au kusamehewa kabisa. Of course hii ni kwa mikopo ya baina ya nchi na nchi au ile ya kutoka taasisi za kimataifa kama ya World Bank na African Development Bank. Tulifanya hivyo wakati wa awanu ya pili na ilisaidia sana. Mwigulu alipe kipaumbele swala hili la madeni akisaidiwa na Mkumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ