ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hiyo Kodi imefanya nini ikiwa Kodi ni Kodi tuu?Mfano Kodi za kuingiza bidhaa iwe mafuta ya kupikia au ya kuendeshea mitambo. Kwa hiyo wewe Ndio hujui vyanzo vya mapato na matokeo ya pesa kukosa thamani dhidi ya Fedha za kigeni
Naona na eliminishana na kiazi. Wewe ulivyo niuliza kabla ya hilo jibu unaloliuzia, ulitaka kujua kuhusu nini, ndicho hicho nilicho kuelezea.Hiyo Kodi imefanya nini ikiwa Kodi ni Kodi tuu?
Bichwa komwe hakuna kitu unaelewa. Mapato yameongezeka Kwa sababu zifuatazo ππNaona na eliminishana na kiazi. Wewe ulivyo niuliza kabla ya hilo jibu unaloliuzia, ulitaka kujua kuhusu nini, ndicho hicho nilicho kuelezea.
Takwimu zilizopikwa ni kama zipi Hadi apinge?ππMbona katika utawala wa mama Samia hatumuoni Zitto Kabwe kupinga takwimu za kupika za makusanyo ya TRA? Je alikuwa anasukumwa na udini kupinga takwimuza za awamu ya Magufuli?
Ingekuwa hivyo tusingekuwa na uhaba wa fedha za kigeni kwani watalii huleta Fedha za kigeni pamoja na uuzaji WA bidhaa zingine, jingine hapa tuna zungumzia mapato ya serikali yanayotokana na kodi, ambayo yanatokana na vat, PAYE, Kodi ya kuingiza bidhaa toka nje , kwenye kuuza nje bidhaa hakuna Kodi nyingi Kwa Nia yetu ni kuuza nje kadiri inavyowezekana. Kwa hiyo hii inaonyesha kweli wewe Una kichwa komeBichwa komwe hakuna kitu unaelewa. Mapato yameongezeka Kwa sababu zifuatazo ππ
View: https://www.instagram.com/p/DAnd60TqUqV/?igsh=aW02ejg4YzJ3dDJn
Mbona kuvunja record itaendelea hata mishahara yetu haijawahu ksuhuka .Hii maana yake ni kuwa Hawa jamaa wanajisifu kwa vitu visivyo na maana wanadhani waote hatujasoma
Ongezeko la mahitaji ya Fedha za Kigeni ni makubwa kuliko yanayoingia na sababu ziko wazi,tunajenga maelfu ya mamiradi ikiwemo reli ndefu zaidi Afrika,mabwawa ya umeme,viwanja vya ndege,miradi ya maji,ununuzi wa mitambo ya uwekezaji nkIngekuwa hivyo tusingekuwa na uhaba wa fedha za kigeni kwani watalii huleta Fedha za kigeni pamoja na uuzaji WA bidhaa zingine, jingine hapa tuna zungumzia mapato ya serikali yanayotokana na kodi, ambayo yanatokana na vat, PAYE, Kodi ya kuingiza bidhaa toka nje , kwenye kuuza nje bidhaa hakuna Kodi nyingi Kwa Nia yetu ni kuuza nje kadiri inavyowezekana. Kwa hiyo hii inaonyesha kweli wewe Una kichwa kome
Ulianza kwenye kodi yaani TRA, ukapigwa kwenye kome lako, ukaja na Data za Benki Kuu ambazo haziuhusiana na TRA, hii inaonyesha Komwe lako limeshindikana hivyo nakuacha na Komwe lako labda madaktari toka India wakija , tutakutafuta wakusaidieOngezeko la mahitaji ya Fedha za Kigeni ni makubwa kuliko yanayoingia na sababu ziko wazi,tunajenga maelfu ya mamiradi ikiwemo reli ndefu zaidi Afrika,mabwawa ya umeme,viwanja vya ndege,miradi ya maji,ununuzi wa mitambo ya uwekezaji nk
Vyote hivyo vinaleta pressure kwenye Fedha za Kigeni.
By the way hatuna upungufu wowote unaoathiri uchumi ndio maana hujawahi kosa bidhaa dukani kisa hakuna forex.
Punguza ujinga wewe bichwa kubwa akili kisoda.
Msingi wa Ukuaji mkubwa wa Uchumi ni mauzo ya bidhaa na Huduma Nje ya Nchi,unaposema hatupati Fedha nyingi unaonesha jinsi ulivyo kiazi ππ
Kama ni Mhasibu unaweza kuendelea kuonyesha mkuu ila kama sio mhasibu hilo ni daraja kubwa kwako..Onyesha huo mtihani kwenye matumizi na Mimi nikuonyeshe matokeo ya ongezeko la Kodi.
DENI LA TAIFA NI TAKRIBAN TRILIONI MIA MOJA KWA MAKUSANYO HAYA NA RIBA JUU ITACHUKUA MIAKA MINGAPI KULIPA?
Hivi makusanyo ya Tra na bei ya Cement vina mahusiano gani? Kwa Hali hii watu wengi wenye akili zao watakuwa wanakimbia JF.Utapeli tupu, watuambie mwaka jana kipindi kama hiki bei ya cement ilikuwa shs ngapi na nauli za mabasi zilikuwa kiasi gani? TRA na CCM ni wajinga sn
Bora wakimbie tubaki wenye akili, kwamba cement na TRA hazina uhusiano? una akili kweli? TRA wanakusanya kodi kutoka wapi? ni % ya mauzo wanachukua? una biashara hata ya kuuza matunda kwenye kibanda?Hivi makusanyo ya Tra na bei ya Cement vina mahusiano gani? Kwa Hali hii watu wengi wenye akili zao watakuwa wanakimbia JF.
Where is toto afya kadi If there is increase in collection?Ongezeko la mahitaji ya Fedha za Kigeni ni makubwa kuliko yanayoingia na sababu ziko wazi,tunajenga maelfu ya mamiradi ikiwemo reli ndefu zaidi Afrika,mabwawa ya umeme,viwanja vya ndege,miradi ya maji,ununuzi wa mitambo ya uwekezaji nk
Vyote hivyo vinaleta pressure kwenye Fedha za Kigeni.
By the way hatuna upungufu wowote unaoathiri uchumi ndio maana hujawahi kosa bidhaa dukani kisa hakuna forex.
Punguza ujinga wewe bichwa kubwa akili kisoda.
Msingi wa Ukuaji mkubwa wa Uchumi ni mauzo ya bidhaa na Huduma Nje ya Nchi,unaposema hatupati Fedha nyingi unaonesha jinsi ulivyo kiazi ππ
Kwani imefanyaje Sasa hiyo Toto yakoWhere is toto afya kadi If there is increase in collection?