kwa mwendo huu itawalazimu wazungu wafuate utamaduni wa nchi za china, japan na hata korea.Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa ngoja nianze kutengeneza mikeka ya kuwauzia watalii..fursa hio hahaaaa
Atafafanua kama nani bwashee?Nadhani Dr Kigwangalla atalifafanua hili!
Tokea mwezi wa saba, wamepunguza PAYE.Au ndio sababu mshahara wa mwezi huu sijauelewa elewa hizo namba Kama zimeongezeka kidogo hivi!!!😂🤣😂
Waziri mstaafu!Atafafanua kama nani bwashee?
Hadi Machame bwashee!Tanzania ya kijani.
Labda kama atakuwa anawashwawashwaWaziri mstaafu!
JF iko huru sana , kama wewe unadhani taarifa yangu ni ya uongo toa taarifa kwa viongozi wa jukwaa , au kama unayo taarifa inayoonyesha kwamba hakuna kodi ya kitanda basi iweke hapa mkuu ili kunipinga , lakini vinginevyo utakuwa unanichukia bure tu .Weka taarifa nzima kuhusu hiyo kodi usiweke vile unavyovipenda tuu
Hadi hotel za watalii huko machame vitanda vinatozwa kodi 🤣🤣🤣Hadi Machame bwashee!
Wana macho LAKINI HAWAONI...Usishangae sana mkuu. Watu wana chuki, tena wana chuki hadi kwa wanaowapa ulinzi wanapokua wamelala.
Kuna dada wa bongomovie aliwahi sema kwenye media hana mama, akadadavua mamake alishakufa ilihali mamake mzazi yuko hai na anamsikiliza sembuse huyu
Dunia inaenda kasi sana hii
Hata hao mnaowatetea ukienda kwao kulipa bed time levy ni utaratibu, sio swali wala ombiJF iko huru sana , kama wewe unadhani taarifa yangu ni ya uongo toa taarifa kwa viongozi wa jukwaa , au kama unayo taarifa inayoonyesha kwamba hakuna kodi ya kitanda basi iweke hapa mkuu ili kunipinga , lakini vinginevyo utakuwa unanichukia bure tu .
Hakuna kitakachosalia Daudi. Na bado imani zetu zinatuamrisha kuzitii mamlakaHadi hotel za watalii huko machame vitanda vinatozwa kodi 🤣🤣🤣
Tii shuruti bila sheria.Hakuna kitakachosalia Daudi. Na bado imani zetu zinatuamrisha kuzitii mamlaka
Katibu mkuu anatosha.Nadhani Dr Kigwangalla atalifafanua hili!
Tii shuruti bila sheria.