princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Mimi kama mdau wa fashion nainjoi sana kuangalia drama za hii blue carpet.
Na wanahojiwa kwa English naona kidogo na Kifaransa, itakuwaje akina Masha Love sasa? Au wataishia kupiga picha pek
tupe up date,D Voice amejitahidi masikini na English zetu Watanzania, sikutegemea!
Ameweza japo alikuwa anaogopa.
Mbona hii tuzo haipewi nguvu wakati inatambua miziki mingi ya afrika, tofauti na grammys?
Kingereza bwana Confidence D voice ameonyesha confidence ambayo sikutegemea halafu dogo ana umbo la Model angeenda Paris angetoboaD Voice amejitahidi masikini na English zetu Watanzania, sikutegemea!
Ameweza japo alikuwa anaogopa.
Nilijificha huku Jozani Forest, sasa nipo njiani…Uko wapii now?
Hivi kumbe ndo wanavaa kutoka kwa yuel muhuni. Basi sitawashangaa tena 😃Lover Boy 🤣🙌🏾
Ila Noel akamatwe kabla hajawageuza Wasafi vichaa, anaishi fantasy za ujinga wake kwenye mavazi anayowabunia.
Juzijuzi kamvalisha Diamond lace naye akavaa tu kama chizi.
Ngozi imechubuliwa kizungu😅 sio sisi utango utango! Mi nilisoma iliandikwa jina... sema saizi wameweka ushubwada sijui kibaoniMimi nimeshtuka nikajiuliza mbona kama Aaliyah?
Kila kitu kiko on point hata makeup, viatu vizuri sana.
Ngozi sasa 🙌🏾🙌🏾
Mi sikujuaga hata kama anaweza kusema hata Hi😅 nmebaki kushangaa mana mm ningelikimbia hilo sijui blue carpet kama ukomaNilipomuona tu D Voice nikaanza kuogopa, nimeshukuru Mungu hajavurunda.
Sisi tunaoangalia LIVE kwa TV wanazingua, waturudishe kwenye blue carpet haya marudio ya show za mwaka jana miyeyusho.
Ulisoma kwa Afro jana kwamba siku hizi kujichubua ndio ngozi ya kitajiri? NilichekaaaNgozi imechubuliwa kizungu😅 sio sisi utango utango! Mi nilisoma iliandikwa jina... sema saizi wameweka ushubwada sijui kibaoni