Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Haya kumekucha Lete washindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Best EA artist kachukua naniKipengele cha Best Dancer alishinda Makhadzi kutoka SA
Mwanamuziki bora Brazil alishinda Duquesa
Wao wenyewe bado hawajatangaza washindi Mkuu, Trace wamezingua mno.Halafu media zote za bongo hususani online TV hazijapost yaliyojiri baada ya tukio kwani Kuna nini? Hasa kutoa majina ya washindi, nakumbuka BET, GRAMMY zikiwa zinaendelea huwa Wana update mkeka kila Jina la mshindi linapotangazwa kwenye categories zinazoshundaniwa. Na siyo tunzo tajwa hapo juu pekee Bali na tunzo nyingi hufanya hivyo. Najaribu kufikiri bila kupata majibu.
Show ya Zuchu ndiyo ilikuwa bora sana.View attachment 3251546
Show ya Zuchu usiku wa tuzo.
Mshindi ni Bien.Bado, tunasubiri watangaze.
Sasa watu si washaondoka ukumbini jamani?Bado, tunasubiri watangaze.
Inamaana Kuna watu bado wanaendelea kutumbuiza.Bado, tunasubiri watangaze.