Traders tuungane kwa pamoja kuwa komboa vijana wenzetu kwenye depression

Traders tuungane kwa pamoja kuwa komboa vijana wenzetu kwenye depression

Expectation vs reality.

Shida ni inapigiwa mahesabu pesa/faida ambayo haijatokea bado, yani ikiwa bado ni yakufikilika, sasa kitu kinapokuja hasi tofauti na mategemeo ya trader lazima apate depression.

Hivyo basi, nipende kuwashauri matraders wanaopitia depression, kupigia mahesabu kitu kilichopo katika uhalisia na sio katika ulimwengu wa kufikilika.
 
"Dont trade the money you cant afford to lose"
This is the golden rule to all traders.

Haijalishi unatrade crypto,maharage,forex,hata betting au hata mahindi.

Biashara yoyote ina ups and fown za kutosha sana.

Pesa ya kula ukienda kutrade kwa kuuza mahindi unaweza kulala njaa,ukitrade pesa ya matibabu ukaenda kinunua matikiti kariakoo na kuuza utaua mgonjwa.

So mimi nadhani biashara hizi zinafuatana katika kanuni haijalishi ni ipi hiyo biashara
 
Hebu tuone account yako kwanza
uko nje ya mada kaka....sijaja kuentertain much know hapa mkuu...huwezi kustick to the point nenda kwenye uzi wa kula tunda kimasihara.
 
Back
Top Bottom