Traders tuungane kwa pamoja kuwa komboa vijana wenzetu kwenye depression

Traders tuungane kwa pamoja kuwa komboa vijana wenzetu kwenye depression

Sijakuelewa...unamaanisha kufanya physical investiments baada ya kupata..mtaji kwa ma broker ama...
Maana...its not about how long umeijua business its how....its about how strong is your edge kwa market...in terms of risk/reward ratio.
 
Acha utoto, maisha hayana kuungana pambana na hali yako
 
Nimejitolea kuwafundisha vijana 50 na kuwasimamia kwa miezi mitatu, wasipotoboa ntawaita niwachape fimbo 20 kila mmoja
 
Athari za Saikolojia Katika Forex na Jinsi ya Kupambana Nazo kwa Kuautomate strategy Kupitia Robots

Katika ulimwengu wa forex, saikolojia inachukua nafasi kubwa sana katika mafanikio au kushindwa kwa mfanyabiashara. Siku baada ya siku, wafanyabiashara wanakutana na changamoto za kiakili kama vile msongo wa mawazo (stress),huzuni (depression), na hata hofu ya kupoteza pesa. Changamoto hizi zinaweza kumfanya mfanyabiashara asiwe na maamuzi sahihi au kurudia makosa yale yale mara kwa mara na Wakati mwingine mtu anaweza Kuwa anastrategy nzuri tu, inawinning probability kubwa pia unaweza Kuta mtu anajua kuhusu risk management vizuri tu lakini kutokana na athari za saikolojia kuimplement hivo vyote inakuwa ngumu!!

Athari za Saikolojia Katika Forex:

1.Stress:
Mara nyingi, wafanyabiashara hukutana na hali ya kutojua kitakachotokea kwenye soko, hali inayoweza kuleta msongo wa mawazo. Hii inaweza kumfanya mfanyabiashara kufanya maamuzi ya haraka haraka, ambayo mara nyingi huwa sio sahihi, wakati mwingine mtu hufanya maamuzi nje kabisa na strategy yake ama risk management yake simply hana uhakika wa direction ya soko na mara nyingi hutokana na woga au hata tamaa,yaani kiufupi anakua kama anabeti.

2. Depression: Pindi unapopoteza mtaji au kutoona faida kwa muda mrefu, hali ya huzuni inaweza kujitokeza. Hali hii inaweza kusababisha mfanyabiashara kukata tamaa au kuacha biashara kabisa na mara nyingi uwa haiishii hapa inaenda kugusa maisha binafsi tofauti na biashara yaani familia n.k

3. Hofu: Hofu ya kupoteza inafanya wafanyabiashara kuwa na wasiwasi wa kila mara na kushindwa kuchukua hatua kwa muda muafaka. Hofu hii inaweza kuzuia uwezekano wa kupata faida nzuri.

4.Uchovu: Kufuatilia soko kwa muda mrefu bila kupumzika kunaweza kusababisha uchovu mkubwa, ambao hupunguza uwezo wa kuzingatia na kufanya maamuzi bora. Uchovu unamfanya mfanyabiashara awe na uwezo mdogo wa kutathmini hatari, hali inayoweza kuleta hasara zaidi.

Kuautomate Mitaji Kupitia Robots Kama Njia ya Kupambana na Athari Hizi:

Kwa mtu yeyote anayefanya biashara ya forex, kuautomate biashara kwa kutumia robots kunaweza kuwa na faida kubwa. Robots za forex zinatoa nafasi ya kufanya biashara kwa kuzingatia sheria maalum bila kuathiriwa na hali ya hisia za kibinadamu. Hii inamaanisha kwamba:

1. Kupunguza Stress:Robots zinafanya kazi bila kuchoka na hazina mawazo, hivyo zinapunguza kabisa msongo wa mawazo ambao ungetokea kama ungetegemea akili zako pekee.

2. Kuzuia Depression: Kwa kuwa robots zinafuata mpango maalum, hufanya biashara kwa ufanisi na husaidia kuepuka maamuzi ya kihisia yanayoweza kusababisha kupoteza mtaji mkubwa.

3. Kuondoa Hofu: Kwa kutumia robots, hofu ya kufanya maamuzi inaweza kuondoka, kwani unajua kwamba robot itafanya biashara kulingana na vigezo vilivyowekwa bila kuingilia kati hisia zako.

4.Kuepuka Uchovu: Robots hufanya kazi saa 24 bila kuchoka. Kwa hiyo, zinaweza kuchukua nafasi ya biashara yako hata wakati unahitaji kupumzika, hivyo unapata muda wa kujirejesha na kurudi sokoni ukiwa na nguvu mpya na umakini mzuri.

Kwa ujumla, saikolojia ni kipengele muhimu katika forex ambacho hakiwezi kupuuzwa. Njia bora ya kupambana na changamoto za kisaikolojia ni kuautomate strategy yako kwa kutumia robots. Kwa mtu yeyote anayehitaji kutengenezewa robot ya kufanya biashara, tafadhali usisite kunitafuta inbox. Nipo tayari kukusaidia!
 
Kama ulifanya Notcoin ukapata Hela ya kula ukafanya Dogs ukapata Hela ya simu mpya basi njoo ufanye hii mpya ujipate kimaisha this time tunaifanya 100% na kwa atayekosa 1,000$+ basi huyo kamwe sio mpambanaji


Project zote mbili zimeletwa na timu hiyo hiyo ambayo imepika mchongo huu basi join chap then kaa nasi tukupe mbinu za kukusanya mkwanja mrefu


Join kupitia hii link na si nyingine kuwa makini na fake links

 
Back
Top Bottom