Trafiki anaswa na TAKUKURU akiomba rushwa ya ngono

Angesimamia mmama apate haki ya mtoto wake mapema angepewa tunda kiroho safi kabisa pengine bila hata ya kuomba.
 
Ningemuona ana maana kama angeomba rushwa ya pesa. Unaomba rushwa ngono usawa huu...dundahead!!!
 
Unapojaribu vitu ambavyo havipo kwenye asili ya kabila lako Mchaga halafu Trafiki lazima upate matatizo, wewe unatakiwa uombe hela hii ya ngono waachie wasukuma.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hakujua kuwa kuutawala mwili wa mwanamke ni sharti uutawale kwanza Moyo wake.
 
Kaka afande unabahati mbaya maana wanawake huwa wanabebana Sasa Kama huyo aliyekukamata ni mwanamke Basi umeisha!! Ila umebugi sana! Kina mambo ya kuomba rushwa ila sio kwa mtoto amegongwa na pikipiki, Basi hapo najua umeshakula hela ya dereva toyo ndio maana unamzungusha kwa kuomba mzigo
 
Unapojaribu vitu ambavyo havipo kwenye asili ya kabila lako Mchaga halafu Trafiki lazima upate matatizo, wewe unatakiwa uombe hela hii ya ngono waachie wasukuma.
Nimecheka kama mazuri vile
 
Kazi ya SHETANI ni KUUA, KUCHINJA na KUHARIBU.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…