Trafiki anaswa na TAKUKURU akiomba rushwa ya ngono

Trafiki anaswa na TAKUKURU akiomba rushwa ya ngono

Huyo trafiki jinga sana
Ilimshinda nini kusaidia huduma za matibabj ya huyo mtoto hata just kwa support ya vyakula na vijinauli huyo mama angejageuka mchepuko wake kabisa angegonga mpaka ahamishwe kituo Cha kazi
 
Huyuu mchaga mwenzangu ametoa wapi ukatili namna hii. Na kwanzia Leo tunamvua uchaga,

Wasambaa tubadilishane machungwa tuwape huyoo askari mdai rushwa ya ngono.

Bora ata angedai rushwa ya pesa ningemwonea huruma.
 
Back
Top Bottom