Trafiki anaswa na TAKUKURU akiomba rushwa ya ngono

kuna demu juzi alisema kwamba boy wake akizingua wanazipiga man to man[emoji23]
Hahahah huyo manz atakuwa mchuga 😂😂😂!!!

Dem ka huyo hafai mzee, labda akutane na chuma kama mimi. Akileta fyoko anapasuka chap.
 
Hahahah huyo manz atakuwa mchuga [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Dem ka huyo hafai mzee, labda akutane na chuma kama mimi. Akileta fyoko anapasuka chap.

hahaha ni manzi ya rombo mkuu na imepanda hewani inanipita urefu
 
Askari wa kikosi cha usalama barabarani, Peter Albert Moshi anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kuomba rushwa ya ngono kwa mama wa mtoto aliyegongwa na pikipiki ili aweze kukamilisha taarifa za uchunguzi wa ajali hiyo.

Kamanda wa wa Takukuru mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikesi amesema leo Januari 7, askari huyo amekamatwa jana akiwa nyumba ya kulala wageni maeneo ya Soweto Mjini Moshi.

Amesema awali askari huyo alikuwa akichunguza ajali ya pikipiki ambayo ilimgonga mtoto huyo na kusababisha kuvunjika mkono ambapo mpaka sasa anaendelea na matibabu.

"Askari huyu alimwomba rushwa ya ngono mama wa mtoto aliyegongwa na pikipiki ili aweze kukamilisha taarifa ya uchunguzi wa ajali husika na kumpelekea mtuhumiwa ambaye ni dereva wa pikipiki mahakamani," alisema Kamanda Wikesi.

Ameongeza; “Katika uchunguzi wetu tumebaini huyu askari alikuwa akimsumbua mama wa mtoto kwa muda mrefu kuwa kama anataka haki ya mwanaye ipatikane basi hana budi kumpatia rushwa ya ngono na hivyo kusababisha shauri kuchelewa kupelekwa mahakamani.”

"Baada ya kuona usumbufu umezidi na mtuhumiwa hana nia ya kukamilisha kazi yake taarifa ililetwa Takukuru na mtego ukaandaliwa na ndipo mtuhumiwa alipokamatwa nyumba ya wageni akiwa hana nguo akitaka kutimiza azma yake," amesema.
Duuuu,hatari hiiii
 
Dhambi ni mbaya Sana! Kazi ya shetani ni kiharibu, kuchinja na kuharibu(yohana 10:10) unaenda jela yamkini hata kufukuzwa kazi kwa sababu ya dhambi ya uzinzi! Unaacha Familia taabani, jamani tuikimbie dhambi kwa kumpa Bwana Yesu maisha na kupata wokovu, haya mateso ya dhambi tutaepukana nayo!
Kweli boss
 
Askari wa kikosi cha usalama barabarani, Peter Albert Moshi anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kuomba rushwa ya ngono kwa mama wa mtoto aliyegongwa na pikipiki ili aweze kukamilisha taarifa za uchunguzi wa ajali hiyo.

Kamanda wa wa Takukuru mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikesi amesema leo Januari 7, askari huyo amekamatwa jana akiwa nyumba ya kulala wageni maeneo ya Soweto Mjini Moshi.

Amesema awali askari huyo alikuwa akichunguza ajali ya pikipiki ambayo ilimgonga mtoto huyo na kusababisha kuvunjika mkono ambapo mpaka sasa anaendelea na matibabu.

"Askari huyu alimwomba rushwa ya ngono mama wa mtoto aliyegongwa na pikipiki ili aweze kukamilisha taarifa ya uchunguzi wa ajali husika na kumpelekea mtuhumiwa ambaye ni dereva wa pikipiki mahakamani," alisema Kamanda Wikesi.

Ameongeza; “Katika uchunguzi wetu tumebaini huyu askari alikuwa akimsumbua mama wa mtoto kwa muda mrefu kuwa kama anataka haki ya mwanaye ipatikane basi hana budi kumpatia rushwa ya ngono na hivyo kusababisha shauri kuchelewa kupelekwa mahakamani.”

"Baada ya kuona usumbufu umezidi na mtuhumiwa hana nia ya kukamilisha kazi yake taarifa ililetwa Takukuru na mtego ukaandaliwa na ndipo mtuhumiwa alipokamatwa nyumba ya wageni akiwa hana nguo akitaka kutimiza azma yake," amesema.
Huyo mama inaonesha ana Chura!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nijuavyo Mwanamke ukimfanyia Jambo jema na Kumsaidia akafanikiwa nalo, hata kama hujamuomba Penzi anaweza Kukufikiria na Kukupa free!!!
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] yaan unavyoongea utafikiri una uhakika kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji28]

Sasa jibu langu kama mwanamke sio kweli na sio wote[emoji57][emoji57]
 
Huyo askari mashamba tu; badala ya kujieleza aeleweke yeye anataka kutumia kazi ili upate kitonga..haya sasa wacha akanyee debe kuku huyo..
Mapolisi wanapenda mteremkoo kitonga ikasubiri

Yaaan kila kitu buuure
 
Back
Top Bottom