Trafiki anaswa na TAKUKURU akiomba rushwa ya ngono

Ameeeeen mtumishi UMEELEWEKA!.
 
Mwendo uwe ni huu huu rushwa ya Ngono inataka kuota Mizizi Tanzania, hakuna watu wanapata shida kama watoto wetu wa kike wakiwa wanahitaji huduma au ajira
Na hakuna watu wanaoumia kama wanaosingiziwa
 
anyongwe
 
Ila inasikitisha sana. Ni kawaida sana wanawake wenye shida kwenye taasisi fulani kusumbuliwa ili watoe rushwa ya ngono. Kuna watu uwezo wa kutongoza hawana kabisa mpaka watumie nafasi zao kinyume na sheria.
Umenikumbusha! Aika wa navy kenzo kwenye moja ya interview zake alishawahi kusema, wakati anatafuta kutoka alikuwa anaenda kwenye studio mbalimbali akiomba kurekodi.

Kila studio akienda producer alikuwa anataka mzigo Kwanza kabla ya yote
 
Huyo askari mashamba tu; badala ya kujieleza aeleweke yeye anataka kutumia kazi ili upate kitonga..haya sasa wacha akanyee debe kuku huyo..
 
Inawezekana huyo mama alikuwa na msambwanda trafik uzalendo ukamshinda !
[emoji23][emoji23] hizi njana zingine

Ova

juzi kuna demu alikua anamtingishia jamaa, msela akasema “hakuna kitu hapo matako ni kabati la mavi” [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…