Trafiki atembezewa kichapo na Mwananchi Mwenge, Mwanajeshi aingilia Kati. Sasa itakuaje?

Trafiki atembezewa kichapo na Mwananchi Mwenge, Mwanajeshi aingilia Kati. Sasa itakuaje?

Yote haya mnayasababisha nyinyi, watu mnaomfanyia kazi ovu Samia Suluhu Hassan.
Siku zake zinaelekea ukingoni. Hizi ni dalili za mwanzomwanzo tu!
Mbona wanajeshi na polisi wengi wamepigwa na wengine kuuliwa na raia miaka nenda rudi huku mjini
Wewe unakaa maporini, huna hizo habari leo unaona polisi kapigwa tayari unaleta unaharakati uchwara wako
 
Mbona wanajeshi na polisi wengi wamepigwa na wengine kuuliwa na raia miaka nenda rudi huku mjini
Huna hata mfano mmoja?
Au unazungumzia wale wa Kibiti na kule mapangoni Amboni au siyo?

Sasa tueleze hayo unayoyajuwa vizuri wewe, kwa maana inaonyesha umo kwenye kundi hilo la kuua polisi na wanajeshi wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom