Texas Tiger
JF-Expert Member
- Nov 5, 2022
- 730
- 1,848
Acha uoga ndugu.Kuna watu hununua matatizo kwa mikono yao wenyewe
Hii si mara ya kwanza polisi kupigwa na haitakuwa mara ya mwisho.
Kipigo ni kipogo tu.
Acha uoga ndugu.Kuna watu hununua matatizo kwa mikono yao wenyewe
Kwenye katiba ijayoUnalifutaje sasa
Katiba unaipataje sasaKwenye katiba ijayo
Hahahahahhahahaha nimecheka ******* aseeeWrestlemania hii hahahaaaaaaa 🔥
Afande mzima anagalagazwa kwenye vumbi na raia wa kawaida! Kuna mafunzo kweli ya ukakamavu kwa huyu askari?Tukio linalodaiwa kutokea maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam, ambapo askari wa usalama barabarani anadaiwa kuchomoa ufunguo wa gari la dereva baada ya kutokea mabishano, linaibua maswali muhimu ya kisheria na kiutendaji.
Je, askari wa usalama barabarani ana mamlaka ya kisheria kuchomoa ufunguo wa gari la dereva aliyekaidi maelekezo? Ikiwa mamlaka hayo yapo, yanatolewa chini ya kifungu gani cha sheria au kanuni? Na kama hayapo, je, hatua hiyo haikuwa ni kuvuka mipaka ya mamlaka ya askari?
Polisi wamesema wanamshikilia Conrad Kayoza kwa KUMSHAMBULIA ASKARI wakati akitekeleza majukumu yake.
Sasa, kwa mujibu wa Kifungu cha 243(b) cha Penal Code, Sura ya 16, mtu anayemshambulia, kumpinga au kumzuia kwa makusudi askari polisi anayetekeleza wajibu wake anaweza kutiwa hatiani na kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka mitano.
Hata hivyo, mazingira ya tukio ni muhimu kisheria. Ili kifungu hicho kitumike, lazima ithibitike kwamba askari alikuwa akitekeleza wajibu wake kihalali. Ikiwa shambulio limesababisha majeraha au limehusisha makosa mengine, mashitaka na adhabu vinaweza pia kutegemea makosa mengine yanayothibitishwa.
Hilo linaonekana ni tatizo la askari wengi, bilashaka uliwahisikia kua hata JW askari akiwa mmoja anakujaga mpole akiwa anasunbuliwa na raia asiye askari,ila sasa akienda kambini akirudi na wenzake,ndo wanakuja wanamdhibiti aliyemzingua mwenzako.Afande mzima anagalagazwa kwenye vumbi na raia wa kawaida! Kuna mafunzo kweli ya ukakamavu kwa huyu askari?
Na bado wakubwa zake eti wanamtetea askari mzembe kama huyu! Askari mzima unashindwa kupambana!
Jamaa mpka kanyoosha miguu 😆 ila Dkt analoMkuu,
Kwamba royal rumble.
Kwanini Dr ampige mtumishi mwenzie.Sio wananchi! Sema jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) la pale lugalo ndiyo waliompiga na hakuna mwananchi alimgusa ushahidi upo walivyomchua alikuwa salama kabisa huyu doctor sasa imekuaje kaishia hosptal
Inawezekana traffic alivuka mipakaukishajua ni Dr kupata details ni rahisi sana.
Ila sema zile hasira zake sio za watu wa medical aisee. Sijui alikuwa na stress gani maskini dah…..
Inawezekana traffic alivuka mipaka
Acha upuuzi na ujinga ujinga wa kutaka uonekane unaongea kitu cha ukweli wakati na wewe unasimuliwa na unakuja kusema alipigwa na wananchi huku hauna uhakika.Kwanini Dr ampige mtumishi mwenzie.
Wananchi ndo walimpiga siyo jwt Mimi nilikuwepo eneo la tukio
Kwahyo hutaki kuaminiAcha upuuzi na ujinga ujinga wa kutaka uonekane unaongea kitu cha ukweli wakati na wewe unasimuliwa na unakuja kusema alipigwa na wananchi huku hauna uhakika.
Kwenye picha hizo za tukio zima kulikuwa na mfanyakazi wa kampuni moja ya barabara na yeye alihusika kuamlia ugomvi Wala doctor hajapigwa na wananchi alitoka hapo akiwa salama kabisa.
Alafu humu JF nimeona sasa hivi Kuna watu wa porojo sana kuliko uhalisia Yani unasema ulikuwepo wakati waliokuwepo na kuamlia ugomvi kabla hata ya wanajeshi kufika mnawapinga ili kutetea nini sasa kwa mfano?
Ficha ujinga wako kijana
Haina haja ya kutaka niamini kama na Mimi nilikuwepo.Kwahyo hutaki kuamini
Hukuwepo lakini bado unalazimisha wote tuonekane hatukuwepoHaina haja ya kutaka niamini kama na Mimi nilikuwepo.
Ficha ujinga wako mkuu
OkHukuwepo lakini bado unalazimisha wote tuonekane hatukuwepo
Yote haya mnayasababisha nyinyi, watu mnaomfanyia kazi ovu Samia Suluhu Hassan.Masikini watamtesa sana lock up
BABA LEVO alimdunda trafiki na sasa ni Mbunge wakijichanganya unamkanda vzur tu...Arudi uraiani akiwa mzima hivi unajua kesi ya kumpiga asikali akiwa kwenye kazi yake?
Kiufupi hakuna rangi ataacha kuiona.
Hivyo ni unavyoona wewe. Kuna wengine kuna kiasi cha kunyanyaswa wasichoweza kukivumilia.Inaitwa hasira hasara. Huu msala Jamaa hatoboi.