instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Kapigwa na wananchiMzee naskia kalazwa kwa kupigwa na wale wajeshi waliokuwa wamemchukua alafu sasa hivi wanasema eti alipigwa na wananchi😀😀
Hivi huyu afande wenu huwa mnamuelewa kweli? Video zimesambaa za tukio mwanzo mwisho hakuna mwananchi aliyejaribu kumgusa huyo doctor Hadi wanajeshi walivyokuja kumchukua.
Wanataka jamaa akikata moto wapate nafasi ya kusema kuwa alipigwa na wananchi Case iwe closed