Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
ok.Inadaiwa tukio hili limetokea leo asubuhi maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam. Jamaa alisimamishwa na traffic, lakini baada ya kusimama wakaanza kubishana. Traffic akachomoa funguo za gari na kutaka kuondoka nazo, ndipo jamaa akamvaa Traffic na kuanza kutembezeana kichapo…
