G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Sasa kuna muda Samia anahutubia unajisemea ningekuwa karibu aisee....Huyo aliyempiga traffic apewe adhabu Kali ili iwe fundisho kwa watu wengine.
Sasa kuna muda Samia anahutubia unajisemea ningekuwa karibu aisee....Huyo aliyempiga traffic apewe adhabu Kali ili iwe fundisho kwa watu wengine.
Sio wananchi! Sema jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) la pale lugalo ndiyo waliompiga na hakuna mwananchi alimgusa ushahidi upo walivyomchua alikuwa salama kabisa huyu doctor sasa imekuaje kaishia hosptalKapigwa na wananchi
John CenaWrestlemania hii hahahaaaaaaa 🔥
Mzee wanajeshi hawapigi raia kama issue haiwahusu wao directMzee naskia kalazwa kwa kupigwa na wale wajeshi waliokuwa wamemchukua alafu sasa hivi wanasema eti alipigwa na wananchi😀😀
Aisee! Sema amemzalilisha afande kamkalia kooni aisee…Sio wananchi! Sema jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) la pale lugalo ndiyo waliompiga na hakuna mwananchi alimgusa ushahidi upo walivyomchua alikuwa salama kabisa huyu doctor sasa imekuaje kaishia hosptal
Piga banzi moja.....Sasa kuna muda Samia anahutubia unajisemea ningekuwa karibu aisee....
Anafaa kuingia WWF(World Wrestlig Federation)
Kheee watu hamna dogo mmeshamtafuta na kumpata 🤣🤣
Dah! Zee limedata kinoma kutoka SA. 🤣🤣🤣Inasemekana huyo babu ni Moja ya wale walioletwa juzi kati kutoka South Africa
Self defense mbona madoja kibao sana hicho kipindi si uongo ni jambo la wazi tuTraffic bongo ni kikwazo 70%,halafu mipolisi ya namna hiyo inadhalilisha askari woote kuonekana mdebwedo, hilo nanga sjui halikuwa linahudhuria kipindi cha somo la self defense? Sasa hapo unashindwaje kubinuka kumtoa huyo raia hapo juu?
ukishajua ni Dr kupata details ni rahisi sana.Kheee watu hamna dogo mmeshamtafuta na kumpata 🤣🤣
Vile nchi imekuwa ya kionevu sana aisee,Jamaa anachekesha kama sio mjomba wako
Hapo ndio shida sasa.Lakini on record, jamaa kaigaragaza Sirkali...!!!
Hii inawezamkuta yeyote sababu ya kila aina ya uonevu unaondelea sasa. Vile sipendi kuonewa najiona kabisa ipo siku yangu aisee.Mimi lilitaka kunikuta kama hili sema lilizimwa kiutu uzima,pole yake huyo dereva
Sana TU,mi tulishashikana ,tena kituoni kwaoHii inawezamkuta yeyote sababu ya kila aina ya uonevu unaondelea sasa. Vile sipendi kuonewa najiona kabisa ipo siku yangu aisee.
Acha kushabikia violence na kitendo cha raia kujichukulia sheria mkononi.Safi sana jamaa kutembeza kichapo kwa Traffic uchwara. na njaa was kibongo. PGO haisemi uchukue funguo za chombo cha usafiri kwa nguvu hata km kuna kosa,
Afu hao Wajeda waache kihere here, kwani huyo ni mjeda mwenzao?? Huyo jamaa arudi uraiani akiwa mzima bila rabsha yoyote.