Wrestlemania hii hahahaaaaaaa 🔥
Watu wa medical sio wa hasira za namna ilee, kuna ya zaidi lazimaAiseeee , Jeshi la polisi limepigwa...!
Kwa Dr agonza naona kabisa ulemavu wa kudumu unamnyemelea.
Wanaweza mfunga kabisaa.Masikini watamtesa sana lock up
Wafanyaje hapo? Watakua nae hadi wapi?Hawa madr walipaswa kusimama na mwenzao walau heshima ingekuwepo. Watu wa medical sio wa hasira za namna ilee, kuna ya zaidi lazima
Inasemekana huyo babu ni Moja ya wale walioletwa juzi kati kutoka South Africa
Wataenda kumchangia huko mahabusu wampige. Halafu huyo soldier siku nyingine aache kimbelembeleTukio linalodaiwa kutokea maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam, ambapo askari wa usalama barabarani anadaiwa kuchomoa ufunguo wa gari la dereva baada ya kutokea mabishano, linaibua maswali muhimu ya kisheria na kiutendaji.
Je, askari wa usalama barabarani ana mamlaka ya kisheria kuchomoa ufunguo wa gari la dereva aliyekaidi maelekezo? Ikiwa mamlaka hayo yapo, yanatolewa chini ya kifungu gani cha sheria au kanuni? Na kama hayapo, je, hatua hiyo haikuwa ni kuvuka mipaka ya mamlaka ya askari?
Polisi wamesema wanamshikilia Conrad Kayoza kwa KUMSHAMBULIA ASKARI wakati akitekeleza majukumu yake.
Sasa, kwa mujibu wa Kifungu cha 243(b) cha Penal Code, Sura ya 16, mtu anayemshambulia, kumpinga au kumzuia kwa makusudi askari polisi anayetekeleza wajibu wake anaweza kutiwa hatiani na kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka mitano.
Hata hivyo, mazingira ya tukio ni muhimu kisheria. Ili kifungu hicho kitumike, lazima ithibitike kwamba askari alikuwa akitekeleza wajibu wake kihalali. Ikiwa shambulio limesababisha majeraha au limehusisha makosa mengine, mashitaka na adhabu vinaweza pia kutegemea makosa mengine yanayothibitishwa.
Acheni kutishia watu mimi nimeshuhudia polisi walipigwa kipigo Kikali mno tena walikuwa wawili na dogo mmoja ni bodaboda pale mtwara....na dogo akapelekwa mahabusu zaidi ya kupigwa makofi ila hakuna kingine tena walimfanyaCoca badala umuonee huruma huyo jaamaa, wee ndio kwanza unampongeza. Mimi namuonea huruma angejikaza tu kuliko kumpigq huyo trafik. Huyo jamaa labda awe na ndugu teeth au ni teeth la sivyo ataona rangi zote duniani.
Hasira hasara. Alichokitafuta atakipata, na nTukio linalodaiwa kutokea maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam, ambapo askari wa usalama barabarani anadaiwa kuchomoa ufunguo wa gari la dereva baada ya kutokea mabishano, linaibua maswali muhimu ya kisheria na kiutendaji.
Je, askari wa usalama barabarani ana mamlaka ya kisheria kuchomoa ufunguo wa gari la dereva aliyekaidi maelekezo? Ikiwa mamlaka hayo yapo, yanatolewa chini ya kifungu gani cha sheria au kanuni? Na kama hayapo, je, hatua hiyo haikuwa ni kuvuka mipaka ya mamlaka ya askari?
Polisi wamesema wanamshikilia Conrad Kayoza kwa KUMSHAMBULIA ASKARI wakati akitekeleza majukumu yake.
Sasa, kwa mujibu wa Kifungu cha 243(b) cha Penal Code, Sura ya 16, mtu anayemshambulia, kumpinga au kumzuia kwa makusudi askari polisi anayetekeleza wajibu wake anaweza kutiwa hatiani na kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka mitano.
Hata hivyo, mazingira ya tukio ni muhimu kisheria. Ili kifungu hicho kitumike, lazima ithibitike kwamba askari alikuwa akitekeleza wajibu wake kihalali. Ikiwa shambulio limesababisha majeraha au limehusisha makosa mengine, mashitaka na adhabu vinaweza pia kutegemea makosa mengine yanayothibitishwa.
Tukio linalodaiwa kutokea maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam, ambapo askari wa usalama barabarani anadaiwa kuchomoa ufunguo wa gari la dereva baada ya kutokea mabishano, linaibua maswali muhimu ya kisheria na kiutendaji.
Je, askari wa usalama barabarani ana mamlaka ya kisheria kuchomoa ufunguo wa gari la dereva aliyekaidi maelekezo? Ikiwa mamlaka hayo yapo, yanatolewa chini ya kifungu gani cha sheria au kanuni? Na kama hayapo, je, hatua hiyo haikuwa ni kuvuka mipaka ya mamlaka ya askari?
Polisi wamesema wanamshikilia Conrad Kayoza kwa KUMSHAMBULIA ASKARI wakati akitekeleza majukumu yake.
Sasa, kwa mujibu wa Kifungu cha 243(b) cha Penal Code, Sura ya 16, mtu anayemshambulia, kumpinga au kumzuia kwa makusudi askari polisi anayetekeleza wajibu wake anaweza kutiwa hatiani na kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka mitano.
Hata hivyo, mazingira ya tukio ni muhimu kisheria. Ili kifungu hicho kitumike, lazima ithibitike kwamba askari alikuwa akitekeleza wajibu wake kihalali. Ikiwa shambulio limesababisha majeraha au limehusisha makosa mengine, mashitaka na adhabu vinaweza pia kutegemea makosa mengine yanayothibitishwa.
Wananchi wakiamua wanaweza, ila askari wakiwa na bunduki wanakuwa na confidence ya hali ya juu sana.Tukio linalodaiwa kutokea maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam, ambapo askari wa usalama barabarani anadaiwa kuchomoa ufunguo wa gari la dereva baada ya kutokea mabishano, linaibua maswali muhimu ya kisheria na kiutendaji.
Je, askari wa usalama barabarani ana mamlaka ya kisheria kuchomoa ufunguo wa gari la dereva aliyekaidi maelekezo? Ikiwa mamlaka hayo yapo, yanatolewa chini ya kifungu gani cha sheria au kanuni? Na kama hayapo, je, hatua hiyo haikuwa ni kuvuka mipaka ya mamlaka ya askari?
Polisi wamesema wanamshikilia Conrad Kayoza kwa KUMSHAMBULIA ASKARI wakati akitekeleza majukumu yake.
Sasa, kwa mujibu wa Kifungu cha 243(b) cha Penal Code, Sura ya 16, mtu anayemshambulia, kumpinga au kumzuia kwa makusudi askari polisi anayetekeleza wajibu wake anaweza kutiwa hatiani na kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka mitano.
Hata hivyo, mazingira ya tukio ni muhimu kisheria. Ili kifungu hicho kitumike, lazima ithibitike kwamba askari alikuwa akitekeleza wajibu wake kihalali. Ikiwa shambulio limesababisha majeraha au limehusisha makosa mengine, mashitaka na adhabu vinaweza pia kutegemea makosa mengine yanayothibitishwa.
Kwani huwa hawalipwi mishahara na posho?Traffic alitakiwa kusema tu,"Nipe hela ya chai nisahau wajibu wangu."
Kuliko kuwaua si tungefuta hilo jeshi tuishi bila askari,au unaonaje ndugu yangu?Raia walitakiwa waingilie Kati na kumuua uyo asakari
Hili fundisho kwa polisiTukio linalodaiwa kutokea maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam, ambapo askari wa usalama barabarani anadaiwa kuchomoa ufunguo wa gari la dereva baada ya kutokea mabishano, linaibua maswali muhimu ya kisheria na kiutendaji.
Je, askari wa usalama barabarani ana mamlaka ya kisheria kuchomoa ufunguo wa gari la dereva aliyekaidi maelekezo? Ikiwa mamlaka hayo yapo, yanatolewa chini ya kifungu gani cha sheria au kanuni? Na kama hayapo, je, hatua hiyo haikuwa ni kuvuka mipaka ya mamlaka ya askari?
Polisi wamesema wanamshikilia Conrad Kayoza kwa KUMSHAMBULIA ASKARI wakati akitekeleza majukumu yake.
Sasa, kwa mujibu wa Kifungu cha 243(b) cha Penal Code, Sura ya 16, mtu anayemshambulia, kumpinga au kumzuia kwa makusudi askari polisi anayetekeleza wajibu wake anaweza kutiwa hatiani na kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka mitano.
Hata hivyo, mazingira ya tukio ni muhimu kisheria. Ili kifungu hicho kitumike, lazima ithibitike kwamba askari alikuwa akitekeleza wajibu wake kihalali. Ikiwa shambulio limesababisha majeraha au limehusisha makosa mengine, mashitaka na adhabu vinaweza pia kutegemea makosa mengine yanayothibitishwa.
Babu Conrad kachafukwa 😂Astakafullahi, halafu huyo jamaa anyetembeza kichapo anaonekana mmbabu wa town, long time!
Unalifutaje sasaKuliko kuwaua si tungefuta hilo jeshi tuishi bila askari,au unaonaje ndugu yangu?
Ni mambo ya kawaida tu ayo uku kwetu askar wengi tu wanapigw na Raia na mtu haichukuwi ata week anachiwa ila baada ya apo askar huwa na heshima ata amuone apo anavunja sheria za barabaran hamulizi kituAcheni kutishia watu mimi nimeshuhudia polisi walipigwa kipigo Kikali mno tena walikuwa wawili na dogo mmoja ni bodaboda pale mtwara....na dogo akapelekwa mahabusu zaidi ya kupigwa makofi ila hakuna kingine tena walimfanya