M Makebo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2025 Posts 4,343 Reaction score 7,238 Sep 10, 2026 #121 Kalamu said: Yote haya mnayasababisha nyinyi, watu mnaomfanyia kazi ovu Samia Suluhu Hassan. Siku zake zinaelekea ukingoni. Hizi ni dalili za mwanzomwanzo tu! Click to expand... Mbona wanajeshi na polisi wengi wamepigwa na wengine kuuliwa na raia miaka nenda rudi huku mjini Wewe unakaa maporini, huna hizo habari leo unaona polisi kapigwa tayari unaleta unaharakati uchwara wako
Kalamu said: Yote haya mnayasababisha nyinyi, watu mnaomfanyia kazi ovu Samia Suluhu Hassan. Siku zake zinaelekea ukingoni. Hizi ni dalili za mwanzomwanzo tu! Click to expand... Mbona wanajeshi na polisi wengi wamepigwa na wengine kuuliwa na raia miaka nenda rudi huku mjini Wewe unakaa maporini, huna hizo habari leo unaona polisi kapigwa tayari unaleta unaharakati uchwara wako
K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 22,898 Reaction score 33,309 Sep 10, 2026 #122 Makebo said: Mbona wanajeshi na polisi wengi wamepigwa na wengine kuuliwa na raia miaka nenda rudi huku mjini Click to expand... Huna hata mfano mmoja? Au unazungumzia wale wa Kibiti na kule mapangoni Amboni au siyo? Sasa tueleze hayo unayoyajuwa vizuri wewe, kwa maana inaonyesha umo kwenye kundi hilo la kuua polisi na wanajeshi wa Tanzania.
Makebo said: Mbona wanajeshi na polisi wengi wamepigwa na wengine kuuliwa na raia miaka nenda rudi huku mjini Click to expand... Huna hata mfano mmoja? Au unazungumzia wale wa Kibiti na kule mapangoni Amboni au siyo? Sasa tueleze hayo unayoyajuwa vizuri wewe, kwa maana inaonyesha umo kwenye kundi hilo la kuua polisi na wanajeshi wa Tanzania.