Trafiki ni mradi wa mapato Serikalini na wakubwa fulani

Katika hili, Mzee Kinana anatakiwa kuungwa mkono kwa 100%. Hawa jamaa watafutiwe majukumu mengine. Ifikie wakati nao wajifunze kuishi kwa kutegemea mshahara kama kada nyingine, badala ya rushwa kandamizi.

Yaani wamewafanya wamiliki wa magari kama ng'ombe wao wa maziwa! Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
Sawasawa
 
Hivi wakuu ukijitahidi gari yako iwe safi,kwa maana spidi ya kawaida,ukiwa umevaa mkanda,bima umelipa na tira inasoma,tairi zipo vizuri na spea yake,nenda kwa usalama umepeleka gari na imekaguliwa na wao vizuri tu.
Taa zote zipo safi,waipa na maji yapo poa,hujazidisha abiria,hujavaa sendo,fire extinguisher ipo vizuri,na unajua kuitumia.
Huhjaovateki sehem isiyoruhusiwa,kwenye zebra umepisha watu wapite,umepaki sehem sahihi,upo kwenye line yako.
Hivi hawa jamaa wanakulaje hela yako?????
Kama wanauliza mpaka mikwaruzo ya rangi, wewe ni nani uendeshe gari jipya kila siku
 
Kinachosikitisha zaidi ni chombo kinachoitwa PCCB kilianzishwa kimakosa sana haijui majukumu yake... Inashangaza eti PCCB mpaka waambiwe kachunguzeni pale...upuuzi mtupu.

PCCB wanashindwa kabisa kuchunguza rushwa zinazochukuliwa na Police barabarani pamoja na stendi za magari na kuruhusu magari mabovu kupakia abiria na ndo chanzo Cha ajali nyingi pia.

Gari ni mbovu na inapakia abiria kuliko kawaida then Askari anachungulia mlangoni, anamwita kondakta nje then wanamalizana.
PCCB Bora ivunjwa.

Ninakazia:

Kwa rushwa ilivyotamalaki, PCCB na wengine wa hivyo wana umuhimu gani kuendelea kuwapo?
 
Hapa Trafiki waboreshewe maslahi, wapewe training za mara kwa mara,wapewe vitendea kazi bora na waongezwe barabarani.
Training gani?
Walipewaje kazi kama hawako trained?
Vitendea kazi gani kama wanapiga vita matumizi ya ICT? Mfano mdogo tu polisi wa cyber crime wanakamata simu za wizi kisha wanajimilikisha wao
 
Kinachosikitisha zaidi ni chombo kinachoitwa PCCB kilianzishwa kimakosa sana haijui majukumu yake... Inashangaza eti PCCB mpaka waambiwe kachunguzeni pale...upuuzi mtupu.

PCCB wanashindwa kabisa kuchunguza rushwa zinazochukuliwa na Police barabarani pamoja na stendi za magari na kuruhusu magari mabovu kupakia abiria na ndo chanzo Cha ajali nyingi pia.

Gari ni mbovu na inapakia abiria kuliko kawaida then Askari anachungulia mlangoni, anamwita kondakta nje then wanamalizana.
PCCB Bora ivunjwa.
Hawa jamaa ni Taasis ya kuzuia na kupambana na rushwa ila hiyo kazi ya kuzuia sidhani kama walishawahi ifanya maisha yao yote.

Labda kupambana tena ni mpaka wapewe maelekezo na wakubwa nendeni mkacchumguze ndio unakuta watu wanakamatwa.
 
Makamu Mwenyekiti hakufikiri sawa sawa kushauri Trafiki waondolewe barabarani.

Kwa jinsi hawa madereva wetu wanavyovuta bangi na kwa jinsi vyombo vya usafiri vilivyo chakavu , kuna maafa yatatokea muda si mrefu na wa kwanza kulaumu watakuwa wao tena.

Hapa Trafiki waboreshewe maslahi, wapewe training za mara kwa mara,wapewe vitendea kazi bora na waongezwe barabarani.

Madereva nao wafanyiwe vipimo mbali mbali vya afya ikiwemo utimamu wa akili zao maana wanadhamana ya kubeba watu , tuacheni siasa kwenye mambo ya msingi jamani.
Unaowaongelea kwa bashasha ni hawa?

IMG_20220729_082949_635.jpg

Labda kama u mmoja wao?

Wana tija wapi hawa?
 
Ni wao, nimefanya utafiti, tangu Kinana amemwaga sumu ukipita barabarani utaona wameinamia simu zao wako busy kujibu mapigo humu na hawalali
Kazi ya Traffic ni kusimamia sheria za Barabarani ili kudumisha usalama kwa watumiaji wote wa barabara.

Anaposimamisha gari ni sehemu ya kazi kuifanyia ukaguzi wa gari lenyewe, dereva na hata abiria waliomo kwenye gari.

Fanya kosa uone kama hawata kusimamisha.
 
Hivi wakuu ukijitahidi gari yako iwe safi,kwa maana spidi ya kawaida,ukiwa umevaa mkanda,bima umelipa na tira inasoma,tairi zipo vizuri na spea yake,nenda kwa usalama umepeleka gari na imekaguliwa na wao vizuri tu.
Taa zote zipo safi,waipa na maji yapo poa,hujazidisha abiria,hujavaa sendo,fire extinguisher ipo vizuri,na unajua kuitumia.
Huhjaovateki sehem isiyoruhusiwa,kwenye zebra umepisha watu wapite,umepaki sehem sahihi,upo kwenye line yako.
Hivi hawa jamaa wanakulaje hela yako?????
Trafik wa siku hizi hawakagui matatizo ya gari.Wakikusimamisha wanakimbilia kukuomba leseni yako ukishampa ndo shida inapoanzia.ili akurudishie lazima wewe ndo uwe mpole,Ukijitetea kwamba huna kosa wanakua wakali kua unaleta ujeuri na mikwara yakutosha.Sasa hili kuepusha kelele na kuokoa muda wako wakati mwingine mtu unaona uwe mpole tu ili ukafanye mishe zako.
 
Kazi ya Traffic ni kusimamia sheria za Barabarani ili kudumisha usalama kwa watumiaji wote wa barabara.

Anaposimamisha gari ni sehemu ya kazi kuifanyia ukaguzi wa gari lenyewe, dereva na hata abiria waliomo kwenye gari.

Fanya kosa uone kama hawata kusimamisha.

Wewe hujui kuwa kazi halali zikiwamo hizi za hawa ndugu zimekuwa zikitumika kama kichaka cha kijipatia rushwa?
 
Makamu Mwenyekiti hakufikiri sawa sawa kushauri Trafiki waondolewe barabarani.

Kwa jinsi hawa madereva wetu wanavyovuta bangi na kwa jinsi vyombo vya usafiri vilivyo chakavu , kuna maafa yatatokea muda si mrefu na wa kwanza kulaumu watakuwa wao tena.

Hapa Trafiki waboreshewe maslahi, wapewe training za mara kwa mara,wapewe vitendea kazi bora na waongezwe barabarani.

Madereva nao wafanyiwe vipimo mbali mbali vya afya ikiwemo utimamu wa akili zao maana wanadhamana ya kubeba watu , tuacheni siasa kwenye mambo ya msingi jamani.
Hajasema traffic police waondolewe barabarani, ila idadi na kusimamishwa kwa magari ndiyo kero.
Kazi ya askari wa usalama barabarani ni kuongeza ufanisi kwa dereva na siyo kupunguza.
Askari wasaidie wakati wa breakdown, wafuatilie wanaoendesha vibaya, taarifa za wahalifu wanaokimbia na yanayofanana na hayo. Siyo kusimamisha magari kwa sababu ya kitu kidogo.
 
Back
Top Bottom