Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #41
Mnashindwa kuanage kazi zenu za usakama barabarani.Kazi ya Traffic ni kusimamia sheria za Barabarani ili kudumisha usalama kwa watumiaji wote wa barabara.
Anaposimamisha gari ni sehemu ya kazi kuifanyia ukaguzi wa gari lenyewe, dereva na hata abiria waliomo kwenye gari.
Fanya kosa uone kama hawata kusimamisha.
Kweli changamoto zipo lakini wa mfano basi linaloenda mikoani, kwa nini lisiwekewe kituo cha kukaguliwa na lipate hati safi kabka ya kuanza safari.
Pili, gari linaenda Mwanza na limekaguliwa DSM, kwanini lisimamishwe kukaguliwa karibia na trafiki wote njia nxima na kuwaachia bukubuku kila mmjoa.
Kwa malori hivyo hivyo.
Tatizo mradi serikali imefanya faini barabarani kuwa ni maoato nanyi trafiki mnspitia mgongo huo huo na faini poa za kwenu.