Trafiki ni mradi wa mapato Serikalini na wakubwa fulani

Mnashindwa kuanage kazi zenu za usakama barabarani.
Kweli changamoto zipo lakini wa mfano basi linaloenda mikoani, kwa nini lisiwekewe kituo cha kukaguliwa na lipate hati safi kabka ya kuanza safari.
Pili, gari linaenda Mwanza na limekaguliwa DSM, kwanini lisimamishwe kukaguliwa karibia na trafiki wote njia nxima na kuwaachia bukubuku kila mmjoa.
Kwa malori hivyo hivyo.
Tatizo mradi serikali imefanya faini barabarani kuwa ni maoato nanyi trafiki mnspitia mgongo huo huo na faini poa za kwenu.
 
Mtu unajiita ozark halafu hufahamu haya??!
 
Ccp moshi ndiyo linajukumu la kuwazalisha matrafik police,police wa usalama wa Mali na raia,police uhamiamiaji,magereza,
Sasa mjiulize hawa traffic wa sahv wanapitishwa kutoka ccp moshi

Ova
Nasikiaga tu kuwa Uniform nyeupe zinanunuliwaga halafu zuga la kwenda kusoma linafuatia.

Ndio maana unakuta Trafiki Polisi anasimamisha Gari kwenye Bend au kwenye Blind corner ukimwambia kulikoni anakwambia usinifundishe kazi 😁
 
Kinana ndiyo kaanza uongozi leo? Hii sisi tunaita ''n'tokeje ili mabwege yaniunge mkono niongeze umaarufu wangu'' Narudia tena ili wenye akili za nyumbu za kupiga vigelegele kwa kila kitu wafunguke: Tatizo siyo trafiki polisi. Tatizo ni mfumo wetu wote wa uongozi umeoza. Kinana na watu kama wewe mna-deal na dalili tu na kuacha ugonjwa. Bila kuwa na mfumo mzuri wa uongozi na unaowajibika ni bure. Mtaishia kufanya ''mental masterbation'' na kujifurahisha tu. Kinana mwenye ni mpigaji, atawazuiaje wapigaji? Nyie mnafikiri hao trafiki polisi hawana macho na masikio wala ubongo? Na subirini sasa muone kama tatizo litaisha!
 
Hapa kibaha jirani kabisa na stendi mpya ya mkoa (TANROADS) Kuna traffic wengi tu. Hawa hawaachi gari ispokua daladala za Mbezi kongowe.
Pembeni jirani na geti la TANROADS Kuna mmoja amapaki premio yake, wengine wanapaki magari Yao ndani ya stendi mpya.
Namuuliza RPC pwani. Huwezi kuipangia hii nguvu kazi, kazi nyingine ili wapunguze Keri kwa sisi wananchi tunaopitia barabara ya Moro kila siku.
 
Ccp moshi ndiyo linajukumu la kuwazalisha matrafik police,police wa usalama wa Mali na raia,police uhamiamiaji,magereza,
Sasa mjiulize hawa traffic wa sahv wanapitishwa kutoka ccp moshi

Ova
mrangi ndugu yangu. Kinana amezuka kama msimu wa embe unakuja tu na hakutakuwa na badiliko lolote. Kesho mambo yatarudi pale pale au zaidi! Leo unamwambia polisi atunge kesi ya uongo ili kumfunga mpinzani, au asimamie wizi wa kura, unadhani kesho atakuheshimu? Yaani afe na njaa ili kukuheshimu?
 
Rubbish
 
Rushwa imekuwa ni SAwa na mfumo wa maisha yetu baada ya kuporomoka kwa maadili ya utumishi na ya jamii pia, KILA mmoja ula ofisini kwake.
 
Rudi nyuma kama matrafiki wasipochukua rushwa yaani wawe wanaandikia tu makosa Hakuna gari itatembea barabarani watu awafati sheria za barabarani, magari ni mabovu mengi ni chakavu.
 
Wewe hujui kuwa kazi halali zikiwamo hizi za hawa ndugu zimekuwa zikitumika kama kichaka cha kijipatia rushwa?
Uko timamu kweli?

Nani amekwambia uwape rushwa?

Unanichosha bure, ngoja NIKAMWAGILIE MOYO!
 
Ukitaka kupambana na rushwa pambana rushwa kiujumla
Na wanao patikana watie adabu,huko kwengine kutakaa sawa tu

Ova
 
Ndugu yangu sijui unaingea watu Gani. Hujaingia kwenye 18 zao. Ndo utawajua tu.. nilishawahi kua na vyote lkn walikula 5000. Lkn kumbuka wapo wengi sana barabarani na wanapoteza mda sana. make kila baada ya 1km umesimamishwa hasa mjini.

Chukulia unatokea buhongwa Hadi unatokea Kisesa umesimamishwa zaidi ya mara 7 Hadi 10 ndani ya 20km huoni ni kupotezeana mda

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Alafu mshahara wao hauwatoshelezi
Wenyewe wataishije

Ova
 
Ni wao, nimefanya utafiti, tangu Kinana amemwaga sumu ukipita barabarani utaona wameinamia simu zao wako busy kujibu mapigo humu na hawalali
Jana nimesafiri safari ya zaidi ya km 300 lakini sijaulizwa chochote na traffic, kuna mmoja nilimpita kasimama karibu na centreline nilivyokaribia akawahi kunipisha nikabaki na shangaa leo na kismati gani
 

Polisi akikagua vyote hivyo huchomoki usipokamatwa hapo atacheki taa akikukosa atacheki condition ya gari kama kuna mikwaruzo au michubuko hakuachi, katika watu100 wanaoweza kupona ni wawili au watatu. Polisi wa bongo ni wa hovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…