Ungekuwa ni dereva uliyekamilika, na unaye safiri na gari kwenda maeneo tofauti tofauti, basi ungekubalina na hoja za wengi humu juu ya hao trafiki kuwepo barabarani kwa ajili ya rushwa tu.Ila mkiendelea kufa kwa maajali msije kuloloma humu.
Inaondoa hoja yangu?Ungekuwa ni dereva uliyekamilika, na unaye safiri na gari kwenda maeneo tofauti tofauti, basi ungekubalina na hoja za wengi humu juu ya hao trafiki kuwepo barabarani kwa ajili ya rushwa tu.
Ndiyo, inaondoa! Kwa sababu dereva yeyote yule aliyekamilika, wala hahitaji uwepo wa hao wala rushwa barabarani.Inaondoa hoja yangu?
Siamini kama naongea na dereva wa kweli zaidi ya dereva wa JF.Ndiyo, inaondoa! Kwa sababu dereva yeyote yule aliyekamilika, wala hahitaji uwepo wa hao wala rushwa barabarani.
Hata mimi najuta kutumia huu muda wangu kujibizana na Mtoto wa Shule! Mimi nadhani nikuache uendelee tu na homework.Siamini kama naongea na dereva wa kweli zaidi ya dereva wa JF.
Kweli. Wacha nifanye homework yangu kwa kupata msaada kutoka kwa watu wanaoelewa.Hata mimi najuta kutumia huu muda wangu kujibizana na Mtoto wa Shule! Mimi nadhani nikuache uendelee tu na homework.
Ndo hawa wanaoitwa tigo? bila shaka bodaboda wanaijua shughuli yao........wananchi hawana uhuru wa kufanya shughuli zao za usafiri na usafirishaji kisa trafiki wametanda kila kona kusubiri kukusanya rushwa ambayo wanaita pesa ya kiwi, haya mambo yanaondoa ustaarabu wa kijamii......Siku hizi hata hawa FFU nao wanasimamisha magari na pikipiki kukagua na kuchukua rushwa.
Huyo anaongea kishujaa tu sababu aidha yeye naye ni trafiki au ofisa mkubwa wa serikali. Mtu wa kawaida kitendo cha naomba leseni yako ukamkabidhi tu jua kinachofuata ni kubambikiwa kosa tu na aidha utachagua utoe elf 5 mmalizane au akulime 3O!Ndugu yangu sijui unaingea watu Gani. Hujaingia kwenye 18 zao. Ndo utawajua tu.. nilishawahi kua na vyote lkn walikula 5000. Lkn kumbuka wapo wengi sana barabarani na wanapoteza mda sana. make kila baada ya 1km umesimamishwa hasa mjini.
Chukulia unatokea buhongwa Hadi unatokea Kisesa umesimamishwa zaidi ya mara 7 Hadi 10 ndani ya 20km huoni ni kupotezeana mda
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Tekeleza yote, bado utashikwa kwa kuzushiwa kosa. Kumbuka mwana mbuzi aliliwa na mbwa mwitu kwa tuhuma za uchafuzi wa maji ulio fanywa na wazazi wake kabla hajazaliwa.Hivi wakuu ukijitahidi gari yako iwe safi,kwa maana spidi ya kawaida,ukiwa umevaa mkanda,bima umelipa na tira inasoma,tairi zipo vizuri na spea yake,nenda kwa usalama umepeleka gari na imekaguliwa na wao vizuri tu.
Taa zote zipo safi,waipa na maji yapo poa,hujazidisha abiria,hujavaa sendo,fire extinguisher ipo vizuri,na unajua kuitumia.
Huhjaovateki sehem isiyoruhusiwa,kwenye zebra umepisha watu wapite,umepaki sehem sahihi,upo kwenye line yako.
Hivi hawa jamaa wanakulaje hela yako?????
Huu ugonjwa wa serikali kulitumia jeshi la polisi kukusanya mapato unaliangamiza kimaadili jeshi zima la polisi.Siku hizi hata hawa FFU nao wanasimamisha magari na pikipiki kukagua na kuchukua rushwa.
Wanatumwa na wakubwa zaoHuu ugonjwa wa serikali kulitumia jeshi la polisi kukusanya mapato unaliangamiza kimaadili jeshi zima la polisi.
Kila mtu angependa kukusanya mapato ya serikali na ya kwake binafsi.
Ukicheki vizuri wengi wanaosimamisha magari /pikipiki/bajaj hawana hata vitendea kazi vya kukusanya mapato, ila mapato ya kwao wenyewe
Jeshi la polisi limekosa maadili ya kimsingi!Wanatumwa na wakubwa zao
Kuna hesabu lazima wawapeleke
Huo ndiyo ukweli
Ova
Hueleweki, maana hata abiria wewe hujui kuwa wanakereka!huu uzi umejaa watu wasio na magari,na hata traffic hawamo humu.
huko barabarani uhusiano wa dereva na traffic polisi hauharibiwi na rushwa,bali fine ambazo hutumika kumtunza hata huyo mwindaji haramu.
inapokuwa ni rushwa,basi si traffic wala dereva au boss anayelalamika,ila tu inapofanya kazi mashine ya malipo,hapo ndipo kelele zilipo.
tumsaidie kinana kufanya siasa kwa sasa umri unamuacha.
na ndio nyinyi mnaojaa povu bila kujua hao watu wawili wanategemeana.Hueleweki, maana hata abiria wewe hujui kuwa wanakereka!
Hivi vyote unaweza kuvitimizaHivi wakuu ukijitahidi gari yako iwe safi,kwa maana spidi ya kawaida,ukiwa umevaa mkanda,bima umelipa na tira inasoma,tairi zipo vizuri na spea yake,nenda kwa usalama umepeleka gari na imekaguliwa na wao vizuri tu.
Taa zote zipo safi,waipa na maji yapo poa,hujazidisha abiria,hujavaa sendo,fire extinguisher ipo vizuri,na unajua kuitumia.
Huhjaovateki sehem isiyoruhusiwa,kwenye zebra umepisha watu wapite,umepaki sehem sahihi,upo kwenye line yako.
Hivi hawa jamaa wanakulaje hela yako?????
Wanategemeana kwa rushwa?na ndio nyinyi mnaojaa povu bila kujua hao watu wawili wanategemeana.