Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za kisheria zitafuata dhidi yao.
Your browser is not able to display this video.
Pia, Soma: Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa
 
Daah Kimenuka huyo mchukua video nyoko sana....
 
Daah Kimenuka huyo mchukua video nyoko sana....
 
Magufuli alisema viatu vyao vimepauka, hapo wanakusanya polish
 
Hukumu
Your browser is not able to display this video.
 
Ni taarifa za maigizo au taarifa za kutengenezwa kama kawaida yao.

Hao Askari Polisi anaodai kwamba wamekamatwa na wako mahabusu, Je, kwa nini hajataja Majina yao?? Why?
 
Wamekamatwa kwa kuwa wameanikwa hadharani. Utaratibu wa video hii ni wa kawaida kwa tupandao daladala kuuona.
Kama kweli wanataka kupunguza rushwa kwa hawa traffic basi iwe ni lazima mazingumzo ya kondakta na askari yawe mlangoni mwa daladala na abiria wakiona na kusikia mazungumzo. Siyo gari inakwenda kusimama mbele halafu konda anarudi nyuma kwa askari kumshikisha kitu kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…