Trapped to a married man

Nakushauri achana na mume wa mtu. Matatizo ni mengi na hutayaona wakati huu. Utayaona mara tuu ukiishafunga hiyo ndoa ya siri. Ambayo ni batili kisheria. Mkewe atajua na hautabaki salama. Unakaribisha matatizo mengi sana. Kwa umri ulionao bado una maisha. Fanya uchaguzi sahihi mali zisikuzengue
 
Nimegundua hauna hofu ya Mungu ndio mana unashindwa kuamua Jambo dogo hivyo
 
Awagawie wabarikiwe yawezekana yupo mwingine wa 3 ila kaona itakua unyanyasaji wa kijinsia
awa donate jamani
Ndo hapo yee anabania fursa wakati watu wanao hitaji wapo.
Aache uchoyo awagawie na wenzie, hizo baraka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asichokijua kuwa kucheza michezo ya ujana na mwanaume aliye katika ndoa ni kama kucheza na nguruwe katika matope... Mwenzio anaenjoy wakati yeye anachafuka.
 
Eti wao kujiridhisha sawa Ila wanawake hapana, wao wameumbiwa wanawake wengi loh, only in Africa
Bas mie ndo hoi hapo, hivi wanadhan wanawake sio binadamu au, yaan huwa sielew
 
Pole sana
Ila ukiolewa na huyo mme wa mtu utakuja kujuta baadae.
 
Waume za watu hawaaminiki aisee nakwambia from my experience,wewe mchune tu na hyo kufunga ndoa kisiri Ni garasha, be careful ukizaa tu atarudi kwa mkewe. Mume wa mtu wakudanga naye tu
Nilijua tu.... Something is weird about your personality, so we ni mdangaji?! Mmmmmmhmn so creepy......
 
Nilijua tu.... Something is weird about your personality, so we ni mdangaji?! Mmmmmmhmn so creepy......
[emoji23][emoji23][emoji23]nilijua lazima uni quote kwa hili, Hilo swala halihitaji rocket science kujua mwanamke mwenzangu anadaganywa akicheza atakuwa single mother na umri uwe unaenda vile vile
 
Wanawake wazuri hawaolewi,
huwa wanatumika kuwili.
Hushituka thamani yao imekwisha
 
Subiri huyo bimkubwa atakapoanza kukuroga ndio utajua. Mambo ya uke wenza sio kabisa hata kama unampenda huyo jamaa kiasi gani achana nae.
 

Hapana mpaka hapa nimebadili maamuzi
Rafiki usiwe mkali sana haya mambo unaweza kuona kama marahisi lakini si hivyo ukiwa wewe ni muhusika
Nime update uzi mawazo yamebadilika kidogo
 

Thank you[emoji4]
 
Pole sana, wew ni mdogo sana kuchukua uamuzi kama huo, mim niko kinyume na akili yako kwa sababu ni mwanaume na nimeoa toka mwaka 2012, ambacho hujafaham kwa umri wako kama mkuu mmoja alivyoshauri hapo juu ni kwamba hutakuwa jinsi ulivyo hata kwa miaka 5 ijayo, utakapopata mtoto kuna vitu vingi sana ambavyo vinabadilika katika maisha na hata mwili pia waliojifungua watakusaidia kwenye hili.Sasa basi mume wa mtu anakupenda kwa kuwa hujapita kote huko siwezi "kuguarantee" upendo wake kwako baada ya wew kupita kote hukoo. Mwanaume kuhonga sio dalili kabisa ya upendo ila ni nguvu itumikayo kupata kile akitakacho hivyo anaehonga vocha ni kwa sabab ya uwezo wake na anaehonga gari au nyumba ni kwa sabab ya uwezo wake na sio upendo.

Nina mifano ya kesi mbili halisi za watu walioingia kwenye ndoa za watu mmoja muislam na mwingine mkristo; wote matokeo yao ni hasi kwani mmoja ni marehemu kwa sasa na muislam hana ndoa na hana kazi anahangaika, wew humjui kwa undani bi mkubwa ila uko free sana kusema umetambulishwa kwa ndugu, sijawahi kuona familia kama hii toka nazaliwa kama ni kweli hii ni ya kwanza kwangu what if bi mkubwa akiwa na akili mbaya akasema tukose wote( sjui kama umelifikiria hili ) .
Ushauri: Kama kijana yuko serious na wew achna na mume wa mtu olewa na kijana pangeni maisha yenu na Mungu atawabariki;- Mim nikiambiwa nioe tena nitamuoa mke wangu.
 
Umeandika kwa hisia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…