Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Life is too short ndio kamsemo mnatumiaga kujifariji ile hali mabalaa yakianza life inakuwa too long ghafla.I hope I make the best decision
Life is too short
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Life is too short ndio kamsemo mnatumiaga kujifariji ile hali mabalaa yakianza life inakuwa too long ghafla.I hope I make the best decision
Life is too short
Nimegundua hauna hofu ya Mungu ndio mana unashindwa kuamua Jambo dogo hivyoNaomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi
Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.
Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi,mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.
Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.
Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.
Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.
The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.
Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba,na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine
Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali,well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.
To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.
Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.
Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea
PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Ndo hapo yee anabania fursa wakati watu wanao hitaji wapo.
Aache uchoyo awagawie na wenzie, hizo baraka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asichokijua kuwa kucheza michezo ya ujana na mwanaume aliye katika ndoa ni kama kucheza na nguruwe katika matope... Mwenzio anaenjoy wakati yeye anachafuka.Kaa chini tafakari kesho yako,kama kweli una upendo wa kweli kwa huyo ambaye hajaoa,kubaliana naye muanzishe maisha ya wazi na kweli ( ndoa).Huyo mume wa mtu achana naye,kwa kauli ya "tufunge ndoa ya siri" hapo ni mtego wa wewe kuwa wa sirini na kukosa uhuru binafsi juu yake kwenye mahusiano.Jaribu kuwaza,ungekuwa mke wa jamaa then kaoa mke wa siri ungejisikia vp? Mhurumie mwanamke mwenzio,hurumia watoto wake,usiongozwe na hisia( mapenz au pesa za jamaa).Angalia kesho yako!!
Kabisaaaa yaan apate somo.[emoji23][emoji23][emoji23] namhurumia tu bi shost atatapeliwa hebu awe ana msoma idd makengo apate case study za wenzake
Bas mie ndo hoi hapo, hivi wanadhan wanawake sio binadamu au, yaan huwa sielewEti wao kujiridhisha sawa Ila wanawake hapana, wao wameumbiwa wanawake wengi loh, only in Africa
Hahaaa wao ndio binadamu zaidi, Ila wanawake hatuna hisia hata tufanywejeBas mie ndo hoi hapo, hivi wanadhan wanawake sio binadamu au, yaan huwa sielew
Nilijua tu.... Something is weird about your personality, so we ni mdangaji?! Mmmmmmhmn so creepy......Waume za watu hawaaminiki aisee nakwambia from my experience,wewe mchune tu na hyo kufunga ndoa kisiri Ni garasha, be careful ukizaa tu atarudi kwa mkewe. Mume wa mtu wakudanga naye tu
[emoji23][emoji23][emoji23]nilijua lazima uni quote kwa hili, Hilo swala halihitaji rocket science kujua mwanamke mwenzangu anadaganywa akicheza atakuwa single mother na umri uwe unaenda vile vileNilijua tu.... Something is weird about your personality, so we ni mdangaji?! Mmmmmmhmn so creepy......
Wanawake wazuri hawaolewi,Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi
Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.
Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi,mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.
Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.
Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.
Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.
The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.
Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba,na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine
Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali,well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.
To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.
Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.
Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea
PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Wewe unaonekana unataka unachokifanya. It means intentionally unataka kuendelea kuwa na huyo mume wa mtu. So to be on the clear go ahead and be married to him.
Kuna msemo nautumia, "when an ignorant person comes for an advise, give him wisdom because they need it, but when a fool comes for an advise, give him/her a fool's advise because they want it"!
So kuna wengine kumbe?!
Who are we to judge you when we have done worse. But jiulize, for how long will you continue to be a secret? Would you wish your kids to be hidden?
Did your Mama raise you to be a second best forgone opportunity?
Forget about the bond you have with that married man. Turn a blind eye to his riches and properties.
Run!
You will look back in a couple of years to come and you will be proud of yourself.
Pole sana, wew ni mdogo sana kuchukua uamuzi kama huo, mim niko kinyume na akili yako kwa sababu ni mwanaume na nimeoa toka mwaka 2012, ambacho hujafaham kwa umri wako kama mkuu mmoja alivyoshauri hapo juu ni kwamba hutakuwa jinsi ulivyo hata kwa miaka 5 ijayo, utakapopata mtoto kuna vitu vingi sana ambavyo vinabadilika katika maisha na hata mwili pia waliojifungua watakusaidia kwenye hili.Sasa basi mume wa mtu anakupenda kwa kuwa hujapita kote huko siwezi "kuguarantee" upendo wake kwako baada ya wew kupita kote hukoo. Mwanaume kuhonga sio dalili kabisa ya upendo ila ni nguvu itumikayo kupata kile akitakacho hivyo anaehonga vocha ni kwa sabab ya uwezo wake na anaehonga gari au nyumba ni kwa sabab ya uwezo wake na sio upendo.Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi
Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.
Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi,mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.
Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.
Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.
Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.
The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.
Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba,na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine
Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali,well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.
To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.
Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.
Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea
PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Update
Japo nashambuliwa lakini nawashukuru mnaniongezea nguvu ya kufanya maamuzi although yanauma.Nyie nipeni ukweli tu ukweli ni dawa itakayo niponya
So far naona kuna dalili ya kumtumia huyu mume wa mtu since anataka mwenyewe why not,hii sio final ila kutokana na ushauri ninaona nipite namna hio
Umeandika kwa hisia sanaMke wangu nampenda mno na sipo tayari kumpoteza ila nimeshaamua liwalo na liwe. Yule mdada siwezi kumuacha aliwe na wahuni wengine maana jinsi ninavyomfeel siwezi hata kuelezea. Tukiwa chumbani huwa napata raha isiyokifani hivyo nimeshaamua bora nimuoe tu kuliko kumwacha akaolewa na mwanaume mwingine nikaishi a miserable life for the rest of life. Wife will have to just understand. I love her (my wife) but I'm also deeply in love with another woman.