Trapped to a married man

[emoji23][emoji23][emoji23]unaongeza petrol kwenye moto
Wajumbe wananichana balaa mpaka akili imekaa sawa

Hatimae mmetoka hadharani , tafadhari Mswati52 endelea kuomba rehema Mungu na kwa huyu binti Maya , binti wa watu umemchanganya hajiwezi , hofu hii iliyokuingia endelea kuitamia , hata kama mkeo anakuudhi namna gani hata kama mkeo ana muuzi mama yako na dada zako , mlinde mkeo kumbuka mkeo kwanza alikufuata wewe , wewe ndie kiunganishi , kwa
Kuwa yaonyesha baba yako alitangulia , tumia nafasi yako vizuri , mali za nyumbani zisikupagawishe , mthamini mkeo , mtetee mlinde mkeo . Mkeo anakuangalia tu , usifikiri kumuongezea mke ndio utamkomoa , utakayekomoka ni wewe , huku dhambi ya kumuacha mkeo itakutafuna na huyo binti hata ukimuo nae ana dhambi ya kumsaliti mchumba wake itamtafuna na mkigombana atakuwa anamkumbu single boy wake na baadae huyu binti akishakuzoea atagundua kwako hakuwa na penzi la kweli ni alitaka security may be na umzalie mtoto ili umtunze vizuri , baadae ataanza kutafuta penza la kweli na hapo mazee , kichwa kitakupasuka and it will be too late , zaidi watoto wako kwa mkeo wa kwanza wataadhirika kisaikojia , mke wa awali utakuwa umeshamkosa huyu kigoli atakuwa hashikiki . Utabaki na
Mali zako na za kurithi utabaki ukifarijiana na ndugu zako kitu ambacho hakitakutisheza yatabaki majuto mjukuu . Msamehe mkeo kwa kukwaza wewe na familia yako ,mpende mkeo wakemee ndugu zako waambie wamuheshimi
Mkeo na kuwa radhi kukosa mali za ukoo ukaambate na mkeo na watoto wako , achana na huyo binti kuwafurahisha ndugu zako .

Nawe Maya haya mume wa mtu kaja hadharani [emoji28] anaomba michezo yenu michafu ikome , najua unaumia
Sponsor anataka kukata ufadhili , kumbuka tamaa zilimpoza fisi jikubali maisha yako wacha kujiwazia makuu kupita uhalisia wa kuweza kupata utakacho ,kumbuka maishani tunapata tunachostahili sio tunachotamanu kila mmoja ana taka maisha mazuri sana . Usiogope umri kuanza kukutupa mkono . Ni mda wako mzuri sasa kujipanga upya , na wewe mume wa mtu umeonyesha ustaarabu rudi lwa
Mkeo mkayajenge .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu kwanza ni pm nikushauri jambo maana hapa nashindwa kabisa

Nakupenda pia, maana nina uhakika kabisa sijawahi kucomment sana kwenye uzi hapa Jf kama huu wako

Sawa dear nakuja [emoji8]
 

[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka huko chini ulivyonipa kichambo changu
Asante sana mkuu mnalitoa pepo taratibu
 
Mmh haya bana sista
 
Huyo kijana ni mimi hapa pembeni mkuu nakuona tu unavyomshauri,yani unachomtaftia siku nikigundua...

au nikija mdabua utamfanya ajutie na amlaumu sana mama ake mzazi kwann alimleta duniani,atajilaumu sana...

ushauri wako ungefaa sana kama kijana huyo nisingekua mimi (panga mkononi),kijana angekua zoba zoba yupo yupo tu

na awe kapenda haswaa kiasi kwamba hata akimfumania mkewe (anaweza msamehe) tofauti na hapo unampoteza huyu dada.

Baada ya kusoma hii thread nzima yoteeee nikajisemea moyoni Single Mother wengi HUJITAKIA na wala sio bahati mbaya kabisa.
 
Nawambiaga watu Hamna limbwata kali kama PESA

Huyu dada nyie hamjamuelewa hivi unafkiri kuna mtu

anaweza mganda mwanaume mwenye shida na njaa kweli?

eti anapendwa na saivi wanajenga,blal ful umenogewa na pesa bana,

hamna kingine,eti tumepanga appartment Hebu sema kakupangia Appartment bana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uko trapped au yeye ndo yupo trapped?I think the Dude is trapped ....he is being dangad
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka huko chini ulivyonipa kichambo changu
Asante sana mkuu mnalitoa pepo taratibu

Pole sana Maya🤣[emoji28][emoji16] usijali pepo linashambuliwa kila kona siku ya tatu leo litatoka tu liwe subiani/ makata / sharifu/ jini mahaba[emoji35] na utakuwa huru na utarudi hapa kuwashukuru [emoji120] wajumbe 🤝.
 
Bila ya kusahau jini faranga ambalo ndio mtihani wako mkuu🤣🧐🤩 nalo Mungu atakupa wepesi kulinda heshima / utu wako .
 
Fikiria wewe uolewe halafu mme wako akutelekeze wewe na wanao then aende kuoa mwingne liangalie hili kwanza,kwa nini uwe sehemu ya mateso ya mwanamke mwenzako na watoto wake?

Malipo yapo hapa hapa nakuambia!



Kama una kijana hajaoa olewa na mpe Mungu maisha mme wa mtu achana nae.
 
Na ujinga anataka iwe siri



Mme wako iwe siri? Dada unatumiwa tu


Sisi wanaume wengi wetu akili zipo kwenye mguu wa 3 ukisimama tunasahau yote

Ukweli mwanaume hawezi telekeza familia kisa mwanamke mpya,utaliwa na kuachwa
 
Angalia usije pata laana mana unavunja ndoa ya watu bila sababu zamsingi tafuta mume wako achana na wanaume za watu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utawaweza watu; kujilisha tu ujinga. Ooh mwanaume kamili mwenye pesa na nguvu blah blah blah; basi utadhani wana pesa kweli na hizo nguvu, kumbe apeche alolo
Apeche alolo hapooo umeniacha leo... (kwako mwl.kashasha)
 
Kwanini iwe ndoa ya siri? Kama anakupenda na anataka kukuwowa amjuze bi.mkubwa ili ajiandae kisaikolojia kuletewa bi.mdogo.

Yanini kubanana kwa mwanaume mmoja ilhali kuna kaka hapo yupo huru kabisa na nia kashatangaza?
Hapo kwenye kubanana tu ndo umeniacha hoi [emoji2][emoji2]tatzo letu wadada tunapenda mitelemko ambayo baadae tunaenda kupat ajali yaan eti mtu anasema kbsa yupo mkaka ambaye ajaoa na yeye anampenda lkn still anataka hyo mume wa mtu hahaha dada Maya Angelou tafuta ubavu wako dada anajua kuupata ni kazi yaan ile kuchambua chmbua mpk kuufikia inachukua muda kweli ila achana na mwenye ubavu wake mungu aliumba watu wawili tu wa watu hakumuweka na wewe angalia wako dya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…