Trapped to a married man

Kwa kweli
 
Mi nadhani namimi ungeniongeza kwenye list yako Tuwe mtu 3

hii mambo ya kuwa na mume wa mtu mmoja tu inakua hujabalace equation

niongeze hapo na mimi ili uchanganyikiwe kbsa utembee unadondosha mate ndo itanoga.
 
Asee karena fanyaga hebu upite huu mtaa,ucheke ufurahi uongeze siku za kuishi hapa duniani.
 
Siku zako za kuishi zinakuwa kwenye calculator yaani zinahesabika,...ila kama huamini ingia kwenye ndoa na mume wa mtu ambaye ana mafanikio tayari.
mimi nina ushaidi kwa kile nilichokiona kwa mdada aliyepoteza maisha yake tena kwa mateso makali.
 
Mi nadhani namimi ungeniongeza kwenye list yako Tuwe mtu 3

hii mambo ya kuwa na mume wa mtu mmoja tu inakua hujabalace equation

niongeze hapo na mimi ili uchanganyikiwe kbsa utembee unadondosha mate ndo itanoga.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hizi comment humu jamani ni balaa[emoji91][emoji91][emoji91]nacheka huku naogopa
 
Mi nadhani namimi ungeniongeza kwenye list yako Tuwe mtu 3

hii mambo ya kuwa na mume wa mtu mmoja tu inakua hujabalace equation

niongeze hapo na mimi ili uchanganyikiwe kbsa utembee unadondosha mate ndo itanoga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaaa njoo ipake roho yangu rangi ili iwe nzuri mkuu, by the way mwanangu wa kiume nitamlea kwa misingi yote ya utu, heshima na adabu ya kujali watu wote, Yani awe na standard zote za mtu aliyestaarabika
cariha naomba picha yako nikuone ulivyo livyo tu...
 
Wwe mdogo lakini late 20's basi sawa
Achana na huyo mume wa mtu
 
Ila kuwa na wanaume wawili kwa wakati mmoja ni kipaji.

Cha msingi wewe endeleza kipaji chako tu.
Mume wa mtu awe mchepuko.
Olewa na huyo kijana ambae hajaoa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila kuwa na wanaume wawili kwa wakati mmoja ni kipaji.

Cha msingi wewe endeleza kipaji chako tu.
Mume wa mtu awe mchepuko.
Olewa na huyo kijana ambae hajaoa.
Kipaji cha hali ya juu halafu mtoa mada anawapenda wote .
 
We kweli una moyo wa kiume na maamuzi ya kiume na declaration za kiume. Why uteseke wakati hizi ishu zipo possible tena enzi na enzi. Sidhani kama you are the first one. Big up
 
Pole sana Maya🤣[emoji28][emoji16] usijali pepo linashambuliwa kila kona siku ya tatu leo litatoka tu liwe subiani/ makata / sharifu/ jini mahaba[emoji35] na utakuwa huru na utarudi hapa kuwashukuru [emoji120] wajumbe 🤝.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asanteni sana wadau mmetisha aisee
 
Kama dini inaruhusu fresh tu wacha akuoe kama ahiruhusu akija leta mke wa tatu nawe kubari tu
 
Unawaonaje wanawake wazuri na wanatamanisha bila ya kuwatamani?

Apo ni misingi ya Imani yako ndo inakuzuia...lau kungekuwa na andiko la kukuruhusu uongeo sio?

Ila sizungumzii kufanya umalaya na wanawake nazungumzia kuoa ndoa ya mke zaidi ya mmoja...that is my point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…