Trapped to a married man

It feels better kujua kuna mtu ana pitia ninacho kipitia
Naomba nikuulize inamaana mkeo humpendi au ni nini kinatokea?
Utamuoaje bila wife kujua?
Muulize pia anataka kuoa kwa siri au mke wa pili kwa kiislam???
 
Mimi nashape kiumbe nilichokibeba tumboni miezi Tisa na hamna wa kunipangia wewe baba Baki tu kuwa sperm donor na mpumbavu huna mamlaka ya kujifanya kumlea mwanangu. So na play part zote

Wewe cariha tusi la kumuita mume wako kama umeolewa au mzazi mwenzio kama umezaa nae tu mpumbavu chanzo chake ni nini na huyo mtoto wa kiume unayejimwambafai nae sperm zimetoka kwa baba mpumbavu duuh hii kali so kidume ni mwana mpumbavu uhoni tayari umeshamdesign your beleved son mpumbavu tayari huyo ataweza kuwa na positive attitude kweli wakati mama mtu una negative attitude kuhusu baba yake , Unajidanganya na unaota ndoto za mchana . Hapo juu ulisema katika family yako hakuna domestic abuse na hiyo ya kumuita mume wako mpumbavu na hana mamlaka ya kulea mtoto aliye kudonate sperm akazaliwa huyo son ni nini na umeleta GBV ( gender base violence) katika family yako mwenyewe kwa kumtenga mzazi mwenzio au mlikubaliana hivyo , umpanulie mapaja akukojolee then asepe zake wewe ubaki na sperm zake yeye atambae zake asikujue tena .

Umekosea kuzaa na mwanaume wewe ungeenda hospital ukapandikizwa mbegu hapo ungekuwa salama , lakini uzae na mwanaume halafu umwiite mpumbavu hana mamlaka ya kulea mwanenu unageuza mwanao , hutabaki salama unayejiona gumegume uliyeshindikana , unavimbishwa kichwa na hao akina cocastic mtaishia kusagana maana wote yaonyesha mna hasira kali kwa ME na nyie ndio wale mnafanya mazoezi ya kupindua meza kung’oa nafasi ya Baba kichwa cha familia mnajisikia vibaya inaposemwa baba ni kiongozi wa familia mnataka ijulikane mama ndiye kiongozi wa familia baba ni sperm donnor tu , endeleenj kupambana na Mungu , Mungu ninayemjua mimi hadhihakiwi kama wewe cariha unabisha na kama humjui Mungu maana Mungu wako wewe ana anaanzia na herufi ndogo ‘ mungu’ huyo ni lusifa sio Mungu YEHOVA ABA YEHOVA NISI YEHOVA SHAMAH , Mungu huona yote yaliomi mioyoni mwa wanadamu , huona hila zote , na hila kama hizo cariha utaweza fanikiwa tu kuwafanyia fujo wanaume lakini kwa Mungu ashushae vipigo kama alivyoshusha corona maana sodoma
Na gomora ilivyochomwa mtasema mlikuwepoo sasa hivi corona Dunia nzima imejua na wewe cariha umeshudia kwa barakoa ni hasira ya Mungu kwa kuadhibu wanadamu wenye uovu wa kila namna kinyume na maagizo yake nakuachia upambane na Mungu aliyeumba hao wanaume na akawapa mamlaka ya kuwatawala nyie wanawake lakini mmeamua kuwa wafuasi wa shetani kwa kujua au bila kujua walianza wazungu , tunaona wanavyokupita na corona na wameshafanikiwa kuvunja taasisi ya ndoa sasa wameamia Africa , mmeshapokea na dollar zao na mmeamua kujilipua , jilipueni pia lakini navyowajua waafrika na ninavyowajua watanzania hamtafanikiwa mtafanikiwa kupata pesa zao lakini hamtaweza kuiharibu jamii ya kitanzania na omba serikali hii ya awamu ya tano isiwashtukie mtaaibika.
 
Kaka mkubwa umeandika kwa hisia kali na uchungu wa hali ya juu, pole sana ungepata kikombe cha kahawa itasaidia kutuliza machungu,

Lakini naomba tu nikwambie huu ni mtandao usipende kuchukulia mambo serious.
 
Kaka mkubwa umeandika kwa hisia kali na uchungu wa hali ya juu, pole sana ungepata kikombe cha kahawa itasaidia kutuliza machungu,

Lakini naomba tu nikwambie huu ni mtandao usipende kuchukulia mambo serious.

Hayo ni maoni yako ,Kijana utapoteza focus yako kwa kikongwe wako [emoji16] usijibalaguzie kwangu ,au nikuletee lita 10 za maziwa ukamkande ngozi iliyonyauka ya kikongwe wako uliyemnyegesha kanyegesheka ,usione soo mfate 🤣, mimi najiandikia for leisure pia naandika nachoamini kama somo kwa wengine maana hata mimi nanufaika na kuelimika ninaposoma articles za wengine zenye maudhui mukhtatha.
 
Duh mkuu, Vip mbona Kikongwe katukanwa sana hapa nini shida?
 
Kaka mkubwa umeandika kwa hisia kali na uchungu wa hali ya juu, pole sana ungepata kikombe cha kahawa itasaidia kutuliza machungu,

Lakini naomba tu nikwambie huu ni mtandao usipende kuchukulia mambo serious.
We switii si unaona nilivyotukanwa
 
😃😃 jf
 
Hahahaha mimi siwezi kupoteza focus kwa kikongwe wangu, hapa namuandalia tiketi tu aje kwangu sigimbi tule raha, [emoji39]

Btw, ahsante kwa ofa ya maziwa lakini Ng'ombe ninao nitamaliza mwenyewe.
 
Duh mkuu, Vip mbona Kikongwe katukanwa sana hapa nini shida?

Mnisanehe bure nimeingilia mazungumzo yenu , mngeambiana inbox basi kuhusu kukandana ngozi , siku kukoma na kugegedana huko si kutongozana ndio kunyegeshana huko wewe kunyegeshana unatafsiri ni tusi basi mtandaoni wewe hukuwezi huku kuna maneno makali labda hujakutana nayo[emoji848]
 
Sawa Kijana, uzee tabu tupu
 
Asante sana nimeupokea ushauri [emoji1374]
Mdogo wangu Mungu kakupa dhahabu mbili anataka uchague. Mimi ningekuwa wewe mingechagua huyo ambae hana Mke.

My dia mapenzi yana ukomo, ebu piga picha Mke mkubwa akijua? Duniani hakuna siri, utaenjoy kwa muda mfupi sana.ukishazaa Mme mapenzi anarufisha kwa mkewe.

Dia kabla hujaja hapa umemwambia mama yako? Hivi unajua Siku akijua nini kitatokea?

Mtu akishakuwa na title ya Mme wa mtu basi sio wako, usichezee hii bahati. Akikuoa vikwazo vitaanza, Mara watoto wanaumwa ndo maana sikuja, kumbe uongo.

Eti kuwa serious na maombi kwa Siku tatu. Fanya hivi.

Chukua vikaratasi viwili, andika majina yao kwenye karatasi hizo kila karatasi jina lake, weka kwenye biblia ( kwa imani yako) umwambie mungu kati ya hao akupe jibu sahihi, ongeea chochote umwambie wewe ni baba basi nioneshe njia nisipotee.

Baadae ya hapo kunja hivyo vikaratasi wakati umefumba macho, viweke chini, umwambie Mungu akuchagulie na okota kimoja fumbua macho urudi hapa unipe jibu.

Nb kuwa makini usipate mimba kipindi hiki ambacho huna maamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…